Nyimbo za kupinga kuuzwa bandari katika mabasi

Wewe ni jinga sana. Leta mrejesho wa Gesi ya Mtwara. Huwenda ukawa Wakala wa shetani dada yake Ibilisi
 
Kwahiyo mmewapa bure? Jibu hapo kwanza
kasome mkataba/makubaliano kati ya Serikali yetu na Dubai, mbona mkataba upo wazi sana na umeenea kila kona.

wewe unaye dai kuwa Bandari imeuzwa ndiye unatakiwa utuambie imeuzwa shilingi ngapi? kuanzia hapo nitakujibu.
 
Mmewapa bure??
 
Hilo bus lililobeba hawa watu si ajabu litaitwa polisi kuhojiwa kwanini linabeba watu wanaimba wimbo kuikosoa serikali!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…