Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Hahaa hadi rahaaa,umenikumbusha mbaliiii jamanii kusubiria umeme na ukuti ukuti ilikuwa inanoga saaana,.ilikuwa full kubashiana lol[emoji12] [emoji85]Hao watoto wenu wa ushuani wanaosoma st anne maria sijui mary....huku kwetu uswazi kama kawa, juzi nimewasikia wanaimba ukuti ukuti saa mbili usiku umeme ulikuwa umekatika.....hawakuacha mpaka uliporudi nikasikia HUOOOOOOOOOOOOOOOO!
HahahahaBai shoo I love you baby
To the baby to the naaa
The na to the yona
To the yona to the miii
The mi to the pushideaaaa
Terewa tu three fo
Terewa
Takata kona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
LolMkuu we kiboko
Maua ya bustani yanachanuaMaua ya bustani yamechanua
akina dada siri zenu tumezijua
boma la mtete msela kalitengeza...
............
Namkumbuka sana babu yangu huu mwimbo aiseee was his favourateKinyuli nyulika mwanangwa wa Jumbe, kavaa nguo mbili, ya tatu kajifunika.Aliye juu aondoke.
Hapo mmefinyana nyumba ya viganja
Pajero pajero
Mama kapika ugali
Na kifaranga cha kuku
Tia hapa tia hapa....
Kama hautaki niambie..........
Ule wimbo wa kikojozi unaimbwajwe???
Kikojozi huyoooo
Kikojozi
Na nguo.....
Mmmmh hii kwa Mtogole VersionMaua ya bustani yanachanua
Wakina dada Siri zenu tunazijua
Mkienda kwa mabwana mnachanua
WA kwanza chanuuuu mchanuliee
WA pili.......... Chanuu mchanuliee
Ushawahi kuimbiwa nini......?Kindumbwe ndumbwee chaaalyaaa
Kindumbwe ndumbwee chaaalyaaa
Kikooojoooziii kajikojoleea na nguo kaitia motoo hiloooo.
Hahahahahhahahahahaaa looh
Baba yake Kansa kashona viraka...
Matakoni mwake vinaulizana...
Umekuja lini, nimekuja jana kushinda leo oooh!!
Titiii tiii titiiiiiiiiii iiii....
Hahahaha..umejuaje? Za kurukia kambaMmmmh hii kwa Mtogole Version
Maua ya bustani yamechanua
akina dada siri zenu tumezijua
boma la mtete msela kalitengeza...
............
Wakati mnaruka kama mimi nilikuwa sibanduki pembeni nachungulia vyupi!Hahahaha..umejuaje? Za kurukia kamba
Duh mkuu acha tu juzi mimi kuna kimoja kimtukana yani sina hamu nacho kabisa kile kitotokuna katoto nilikua nacheza Nako kwa kukarusha juu Na kukadaka. Nakarusha tena Na kukadaka. Nilipo acha kakaniambia "acha us*nge nirushe tena" nikabaki hoi
Hahahaha enzi hizo chupi Taiwan zilikuwa zaitwa ukiruka kamba hadi uionyeshe!!! Kwa hyo umeanza kutufaidi kitambo!!!! KiddingWakati mnaruka kama mimi nilikuwa sibanduki pembeni nachungulia vyupi!