Nyingine ya Moto: Samia na Nchimbi waanza tofauti hawana hata siku 100 za uhalamu wa Utawala wao

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona

Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe.

The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye akaamua k7,uia gap sababu ingeleta maneno ya kwanini hayupo hivyo aliamua kurudi na kuzuia hiyo hali.

Swali ni inakuwaje kama aliamua kurudi boss wake asijue mpaka alipokutana naye ukumbini na kugutuka na kumuuliza kumbe umesharudi?

Kifupi nawaletea mengi wait

Britanicca
 
Wote wapo kwenye viti walivyokalia illegally.
 
Hii nayo post

Hata nchimbi mwenyewe anakushangaa cheap propaganda
IMG_8516.jpeg
 
Kikwete kakosea sana sana kumpitisha kihuni Samuya, heri angempa Emmanuel hicho kiti kuna unafuu,
Samia anafanya upendeleo wa maendeleo na sasa kwenye wizara ya fedha kamweka Mzanzibari mwenzake Watanganyika tutakoma.
Angalia hii hospitali ni miongoni mwa mahospitali ya kifahari kajenga anajenga Zanzibar na dawa ni bureeeee
 
kwa heshima uliyojijengea Jf vitu vingine sio lzm uandike.....
Mbona katika uzi wa kuanzisha ni kama huu (yaani ametoa supposition na kuweka evidence ya kilichotokea) - Unakidhi vigezo...

Kuliko hata zile nyingine ambazo wewe unaona bora ila hazina evidence yoyote na proof yake ni happenstances ya future events....
 
Kuna clip mama anashangaa kumuona Makamu ukumbini wakati wa kutangaza cabinet nadhan mmeiona

Samia na genge lake walimtuma Congo, huku wakapanga cabinet, wakati wanaenda kutangaza akashangaa jamaa yupo. Ikabidi kiti chake kiongezwe.
The guy was so smart, japo walifanya wrong move, yeye akaamua k7,uia gap sababu ingeleta maneno ya kwanini hayupo hivyo aliamua kurudi na kuzuia hiyo hali.
Swali ni inakuwaje kama aliamua kurudi boss wake asijue mpaka alipokutana naye ukumbini na kugutuka na kumuuliza kumbe umesharudi?
Kifupi nawaletea mengi wait

Britanicca
Kavideo mkuu
 
Back
Top Bottom