Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

Acha upumbavu wewe. Kwanza kama umetia nia ya kufunga huwezi kutetereshwa au kuchukia mwenzako kula.

Nyie ndio huwa mnashinda njaa kwa kisingizio cha kufunga.

Acha utoto.
Wanafunga harafu wanaamka usiku wa manane kula
 
We ni nani unayetukataza tusile mchana? Peleka ujinga wako kule, sie tutakula na hautufanyi kitu. Hatuamini dini yako
 
Kikubw fata tamaduni za dini kushnei hakuna uislam na ukristo pekee Kuna hadi umasai na dini zingne za asili
 
Sisi WaTAG tulifunga siku 28 toka mwezi wa kwanza ila hatukusumbua watu wanaokula. Wakatholic nao wanaendelea na kwaresima ila hawajasumbua watu. Ila nyie maruhani mnafunga sasa hamtaki wenzenu wale. Pumbavu kabisa wewe mleta uzi.
 
N
Ndio Shida ya hii dini yenu hii

mnachofanya mnataka mlazimishie na wengine wafanye
Mngekua mna Nguvu Raia wa hii Dunia wangetaabika sana
 
Hii staili mpya ya ukoo wa Mwamedi kufikisha ^anjali^ ulimwenguni ni ya kiwango cha kuzimu.
 
Kwenda Kule mnageuza mchana kuwa usiku na usiku kuwa mchana, ni kwanini vyakula vinanunuliwa na kuisha sokoni sana kuliko wakati ambao sio wa mfungo,

Yani mnakula kuliko hata wakati mkiwa hamjafunga, ninyi kazi yenu ni kula usiku wote, mnafidia mara nne zaidi na kile mlichotakiwa mle mchana afu mnajisifu mmefunga duhhh nyie ni hatare walahi.
 
Sio lazima kufunga kila mtu akifunga.
Wengine wanafunga hakuna MTU anayejua zaidi ya mpishi wake.
Sio wewe ukifunga lazima unuke mdomo ili watu wajue umefunga.
Elewa kwamba kufunga Ni wewe na muumba wako sio lazima wengine tujue.
 
Kila mtu na Imani yake
Kila mtu na Mungu wake
Kila mtu na namna yake ya kuishi
Kila mtu ashinde mechi zake

Imani yako kipimo chake ni nini
 
Wewe vipiii, kaa kwa kutulia.. nchi ina uhuru wa kuabudu hii. We kama umefunga zako nenda kajifiche huko, tuache sisi tuendelee kula. Kufunga kwako kusiathiri lifestyle yetu au kuingilia uhuru wetu sisi ambao hatujafunga.
 
Walio leta dini hizi wametuweza sana tumekua kama mazombii big up sana kwa China kuwafinya wanadini kimya kimya maana dini inasababisha utindio wa ubongo km unavoona akili ya mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…