Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
kwahiyo toba ni mwezi huu tu, miezi mingine dhambi kama kawa. shetani mwongo sana, anajua sana kubambika watu dini za uongo.Acheni kejeli
Huwezi kutukana na kulaumu watu wasio waislam
Mwezi huu ni wa toba na una masharti yake
Tusiharibiane swaumu jamani
Hakuna mtu anafunga anaanza kutukana watu, hapana huyu labda hajui maana ya mfungo huu au sio muislam
Heshima ni jambo kubwa sana kwa waliostaarabika wakuu
💯% 🚮Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Hii inadhihirisha ni kiasi gani uislam ni dini ya kulazimishana na vitisho...lDaa ndugu yangu muislam naona umeota jipu wewe, kwani unafunga ili iweje, uiashinde dhambi au dhambi ikushinde?.
Kuna mmoja kakurupuka kama wewe kamuona mwenzake hana sura ya ramadhan (kufunga huku unatia huruma) kamwambia "mbona wewe uonyeshi kama umefunga? "
Sababu ana furaha muda wote, it'was foolish sana!.
Inasikitisha sanaduuuh kupatwa kwa kufunga.....unafunga afu unaamka kula usiku wa manane .............inashangaza sana......
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Isaya 1:14, Sikukuu zenu za mwezi mpya na karamu zenu zilizoamriwa, nafsi yangu yazichukia; mambo hayo yanilemea, nimechoka kuyachukua.Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Ibilisi kashika Ngiri masikio...We kuna mtu alikulazimisha kufanya unachofanya?
Kula ale mtu mwingine we ukasirike. Jitambue dogo
Hapendi, either analazimishwa or anafanya hivyo kuwafurahisha wanao mzunguka🤣 🤣 Hakuna unachofunga chawa acha kushinda njaa
Jiepushe na dhambi za aina yote na mda wote kama wewe ni muumini wa dini yeyotekwahiyo toba ni mwezi huu tu, miezi mingine dhambi kama kawa. shetani mwongo sana, anajua sana kubambika watu dini za uongo.
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
Eti dini ya Mwenyezi Mungu... LAANA tupu hakuna dini hapa...Kufunga kwako kusiwe kero kwetu
Wewe funga upate thawabu. sisi tulioamua kuishi maisha yetu bila kelele usitufanye kama watumwa wako bana.
Kama vipi hamia Zanzibar ambapo kila mtu analazimishwa kufunga hata kama siyo wa imani hiyo
Hivi nyie hamna aibu? Mwaka mzima nyie mnakula tu bila kupumzika? Hamajisikii ganzi kuona watu wote wamefunga nyie kula tu barabarani hata hamuoni haya huu ni ujinga na uchizi wa kiwango cha lami
Nyie ambao mnakula lazima tuwashitaki kwa sababu mnatumanisha na sisi tupate na mzuka na hamu ya kula wakati tupo kwenye mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani mwezi ambao dunia imatikisika baada ya kuingia kwa mwezi huu dunia mzima ipo kwenye swaumu ila kuna watu wajinga kutwa kula hovyo hovyo tu
Kama mnataka kula kaeni huko chemba au mjifungie vyumbani kwetu au kwenye mapagala yenu huku mkila na mkisaza sio kula tu hadharani mnatukera sana
natamani ungefumbuka macho ukaona namna shetani alivyoleta imani za kishetani, watu wanafunga na kupoteza muda na pesa wakiamini wanamwabudu Mungu wa kweli, kumbe shetani amewapiga changa la macho. wengi wameokolewa kutoka huko, na kuwaambia ukweli kwamba wapo gizani ni muhimu, kwani tusipowaambia tusijedaiwa damu yao mikononi mwetu. Njia ya kumwabudu Mungu ni moja tu, kwa njia ya wokovu katika Yesu Kristo, njia zingine zoote ni za mashetani na wala usizifumbie macho.Jiepushe na dhambi za aina yote na mda wote kama wewe ni muumini wa dini yeyote
Hakuna haja ya kashfa kwani haikuongezei point
Jamni hii si KITIMOTO HII🤣🤣🤣