Nyoka mwenye uwezo wa kuua kwa sekunde 5 apatikana

Afu pia
Anapenda nyimbo za harmonize na lavalava
Ili ashibe anakunywa maji lita 12
Anachukia sana rangi nyekundu(shabiki wa simba ukikutana na huyu basi umekwisha)
Anapenda kuangalia basketball na volleyball
Pia nyakati za jioni ni mpenzi sana wa kahawa

Ghafla ukikutana na huyu neno la kutamka ni khoh khoh khoh yawyaw ....,atadhani ni yule kijana wake
Atapita atakwenda zake kama mayele[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ngoja nikausome upya uzi. Isije ikawa nami nimeingia cha kikeni
 
Alisikika bugabuga akiropokwa
 
Urefu wa mita 25[emoji16][emoji16]hii chai ya serena kabisa unajua mita 25 wewe
 

Kwa hiyo bado maajabu ni mengi sana, kwahiyo blackmamba hasogei tena kwa makali ya huyu collin
 
Punguza Copy & Paste. Ujifunze kuchuja kidogo,Hapa Chai ndo nyingi kuliko ukweli.
 
Naomba kuuliza; Ni mtaa upi nyoka huyo aliwahi kwenda kuleta fujo, na wanamtaa walichukua hatua gani nyoka huyo alipoleta fujo je waliita FFU au walihama mtaa au walikufa wote ndani ya sekunde tano?
 
Umesahau kuandika kuwa "Ana meno ya Chuma"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…