hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Huu ndio ukweli mchungu, maana hata hii iliyopo mtu anaikanyaga na vyombo vya kuilinda vinafumba macho.
Kabisa
Hata mpya ikija still itakuwa ni hivi hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli mchungu, maana hata hii iliyopo mtu anaikanyaga na vyombo vya kuilinda vinafumba macho.
😂😅Mdhahara?!!!...kadiri mdhahara unavyokuwa mkubwa ndivyo ssilimia ya huo mdhahara inavyopungua hadi juu kabisa...
Katiba Mpya itaainisha namna ya kupata hao wasimamizi kwa haki, so watakuwa ni halali na watatenda HAKI., Siyo hao haramu waliopatikana kwa wizi, unyang'anyi, udanganyifu na hila!!!!Kama now hawawez kusimamiwa then hata katiba mpya ikija still hawatosimamiwa
Katiba ni Jambo moja but wazimamizi wa hiyo katiba ni Jambo lingine
Sisi hatuna shida na katiba, Sisi tunashida na wasimamizi wa katiba ambao bado wataendelea kuwepo hata tukileta katiba mpya kila wiki
Au Unaweza kukuta ni typing error. Yaani walimaanisha 2.33% badala ya 23.3%?. Alafu hesabu za decimal ngumu aiseee.Ile nyongeza ya 23.3% iko wapi?
Tunajisikiaje watumishi wa umma wanapodanganywa na Serikali kama watoto wadogo?
Unakwama wapi?Katiba itaweka mifumo ya checks and balances ambazo sasa hivi inafanywa na uvccm.Wamekuingizia mawazo yao mgando kuwa kama hii Katiba mbovu haisimamiwi vema tusiandike Katiba Mpya ya Wananchi kwa sababu hiyo?Kweli hapo upo serious Ndugu?
Kama now hawawez kusimamiwa then hata katiba mpya ikija still hawatosimamiwa
Katiba ni Jambo moja but wazimamizi wa hiyo katiba ni Jambo lingine
Sisi hatuna shida na katiba, Sisi tunashida na wasimamizi wa katiba ambao bado wataendelea kuwepo hata tukileta katiba mpya kila wiki
Huu ndio ukweli mchungu, maana hata hii iliyopo mtu anaikanyaga na vyombo vya kuilinda vinafumba macho.
Eehhhkwa hiyo Samia muongo
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji38][emoji38]Mke wangu kakuta 60000 imeongezwa, kapata period gafla alijua laki 4
Backing[emoji808]️ barking[emoji818]️TUCTA ni backing dog aside na meno
Hawa tucta Wana Upuuzi , Kama wanalalamika waache kazi, mshahara haijawahi kutosha kamwe, tangu lini kitu Cha kupimiwa kikatosha, wafanyakazi wafanye kazi mbadara kwa lengo la kuinua mapato yao
Sasa Hilo tamko litabadiki nyongeza???