Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Unfortunately mimi Sio mtawala

Ila nashauri na wewe ugome kula na hao mawakili wagome kula
Hii dhana uliyonayo ipo kwa watu wengi, kwamba matatizo ya mwenzako hayakuhusu. Ila kila mtu litamfika kwa wakati wake
 
Endelea kufurahisha genge utakuja kuhukumiwa kwa matendo yako we jitoe ufahamu Mungu sio wakuchezewa
Relax gentleman,
Mungu ni wa wote wa mchao,
na sio wapotoshaji, wazushi na watu wa drama useless jukwaani 🐒
 
wawapi huyo gentleman?🐒
Tlaatlaah mara nyingi nyuzi zako zimejaa kejeli na uzushi. Muda mwingine siamini kama ukiwa mtu mwenye staha anaweza kufanya utani kwenye mambo ya msingi. Ni vile kwa sababu wewe hauko kwenye mambo wanayopitia wenzetu unaona uko sawa.
 
But you support Lissu ajitese kwa kutokula sio?

Damu za wanaoteseka kwa kudanganywa na madalali wa mabeberu kama wewe hazitawaacha
Wewe inakuuma ni?mbona anaye shinda njaa ni lisu wewe unaumia nini.ety kwakuwa una kacheo hapo lumumba basi unaona umepatia maisha kwelikweli.
 
Tlaatlaah mara nyingi nyuzi zako zimejaa kejeli na uzushi. Muda mwingine siamini kama ukiwa mtu mwenye staha anaweza kufanya utani kwenye mambo ya msingi. Ni vile kwa sababu wewe hauko kwenye mambo wanayopitia wenzetu unaona uko sawa.
gentleman,
ikiwa kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu ni kejeli, nadhani inafaa niongeze bidii zaidi hadi ifikie mahali uone ni mambo halisi.

sidhani JF management inaweza kuvumilia kitu useless kama hicho.

Hata hivyo nakushauri kumuamini Mungu pekee na sio kuniamini mimi na wanadamu au washirikina wengine jukwaani, hilo ni muhimu sana.

Mwisho kabisa,
mimi ni mtaalamu mwandamizi katika sayansi ya siasa, siwezi kua na huruma za kinafiki dhidi ya mtu yeyote yule asie mwanasiasa, lakini yupo kwenye siasa. Binafsi na pita nae kwa uzito ule ule kama ambavyo napita kwa wataalamu wenzangu wa siasa 🐒
 
Wewe inakuuma ni?mbona anaye shinda njaa ni lisu wewe unaumia nini.ety kwakuwa una kacheo hapo lumumba basi unaona umepatia maisha kwelikweli.
Aisee naumia sana sisi chakademus kushabikia mwenzetu kukaa njaa wakati sisi tunakula
 
Hii dhana uliyonayo ipo kwa watu wengi, kwamba matatizo ya mwenzako hayakuhusu. Ila kila mtu litamfika kwa wakati tofauti
Kabisa

Kwahiyo tusishabikie mtu kugoma kula, either wote tule şu wote tugome
 
Hahahaaaaaaa

Ikiuma Sema
Ndio,Naumia kuona mtanzania mwenzangu anapitia anayopitia kisa ulafi wa madaraka wa watu Fulani!
Wao ili waweze kula vizuri,Lazima wazime kelele zote zinazohatarisha madaraka yao!Ikibidi hata kuua,it's a shame!
Ila Yana mwisho!
 
Mwisho u karibu sana

Pale wote tutakapoamua kususa kula Sio tunamuachia jamaa pekee
 
Back
Top Bottom