Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Mfano sasa Kanisa katoliki wanajiona hawatishiki
Sababu tayali Chadema yupo mwenyekiti kutokea Kanisa Kotoliki
Kwa Ujumla kwasasa Chadema ni Kanisa katoliki

Kwaiyo ni kama kuitisha CCM kwamba ikiwa CCM mwaka 2030-2035 watachagua yoyote sio kutokea Kanisa katoliki

Manake wao watakuwa tayali na mgombea wao kutokea Chadema lazima sifa zake kuu hawe Mkatoliki

Lkn CCM wakichagua Mkatoliki basi Chadema wanaweza kuwaachiwa kuweka mgombea yoyote lkn wao Kanisa Kotoliki watakaa pembeni watamuunga mkono yule
wa CCM Sababu wanajua kukiondosha chama Tawala napo sio kazi ndogo lkn kwao ikiwa hakuna njia nyengine wataingia Vitani kupitia Chadema!!!

Tatizo kwasasa Wakristo wengine ni kama mambumbumbu kusoma kuelewa chezo lilivo.

Utakuta yeye KKKT yeye Pentecost yeye Sabato Anglican lkn yote yanasombwa na Siasa za kikatoliki kisa tu wanadhani wanatetea Wakristo

Mimewakumbusha vyeo vyote vikubwa ktk nchi yetu vikivyotolewa kwa Wakristo lkn sio Wakatoliki

niamini teuzi zake zimefanywa na Marais Waislam tu.
Nikaweka mfano Jaji Mkuu Agustino Ramadhani ni kutokea Anglican mteuzi Jakaya Mrisho Kikwete!!

Kwamaana madhehebu mengine yangekuwa yanajitambua yangeungana na Waislam kitambo yumkin Rais muislamu angepata ujasiri wa kumwachia kijiti Rais Mkristo lkn sio Mkatoliki!!

mana sote ni Watanzania kwanini lazima hawe Mkristo
Mkatoliki tu ❗😳❗

Na hasiwe dhehebu lengine
ukweli sio haki mbele za haki

kiongozi yumkin sifa zote anazo lkn tatizo tu sio Mkatoliki anapoteza sifa zote za jumla ❗

sipingi Ukatoliki mwenyewe nimezaliwa hospital ya kikatoliki mwenangu wa kwanza pia kuzaliwa kwao !!
lkn ukweli kwenye mizani ya Haki si Haki ✍️

Lkn mshangao Wakristo wote wameimbishwa nyimbo moja na Kanisa Kotoliki Samia must go Aleluyaaaaa
Yalivo mazombi chuki sisizo na macho yakaimba yoteeee Samia must go Aleluyaaaaa
 
And I can not waste my time on discussing scripted drama's gentleman 🐒

Mkuu ongera kwa kazi ngumu lkn yenye ukweli na kuelimisha jamii ya wengi

Mungu asimame naww na kukulinda na waovu wenye nia ya kupotosha umma kwa maslahi yao binafsi

kwahakika kile umekiandika ni kidogo juu ya alakati za Chadema na Kanisa Kotoliki!!

ukweli unajua mengi tunajua mengi lkn hatupendi kulivua nguo moja kwa moja Kanisa Kotoliki Sababu bado kufikia sasa tunawapa heshima yenye kustahili:BanHammer:

Bado tunawatazama kama
wenzetu kimantiki

Sikuzote Mungu wa kweli anasimame na Wale wakweli wasio waoga waoga!!

Ongera Tlaatlaah Nakuombea ulinzi kamili kutoka kwa Mungu mkuu 🤲
 
Gentleman,
hizo porojo na ramli zako useless , ungeziandikia uzi mahususi jukwaani ingependeza zaidi kuliko kuendekeza unafiki na kujipa utakatifu wa kipepo jukwaani.

that's just a hot air to me as political scientist 🐒
 
Mfano sasa Kanisa katoliki wanajiona hawatishiki
Sababu tayali Chadema yupo mwenyekiti kutokea Kanisa Kotoliki
Kwa Ujumla kwasasa Chadema ni Kanisa katoliki

Kwaiyo ni kama kuitisha CCM kwamba ikiwa CCM mwaka 2030-2035 watachagua yoyote sio kutokea Kanisa katoliki

Manake wao watakuwa tayali na mgombea wao kutokea Chadema lazima sifa zake kuu hawe Mkatoliki

Lkn CCM wakichagua Mkatoliki basi Chadema wanaweza kuwaachiwa kuweka mgombea yoyote lkn wao Kanisa Kotoliki watakaa pembeni watamuunga mkono yule
wa CCM Sababu wanajua kukiondosha chama Tawala napo sio kazi ndogo lkn kwao ikiwa hakuna njia nyengine wataingia Vitani kupitia Chadema!!!

Tatizo kwasasa Wakristo wengine ni kama mambumbumbu kusoma kuelewa chezo lilivo.

Utakuta yeye KKKT yeye Pentecost yeye Sabato Anglican lkn yote yanasombwa na Siasa za kikatoliki kisa tu wanadhani wanatetea Wakristo

Mimewakumbusha vyeo vyote vikubwa ktk nchi yetu vikivyotolewa kwa Wakristo lkn sio Wakatoliki

niamini teuzi zake zimefanywa na Marais Waislam tu.
Nikaweka mfano Jaji Mkuu Agustino Ramadhani ni kutokea Anglican mteuzi Jakaya Mrisho Kikwete!!

Kwamaana madhehebu mengine yangekuwa yanajitambua yangeungana na Waislam kitambo yumkin Rais muislamu angepata ujasiri wa kumwachia kijiti Rais Mkristo lkn sio Mkatoliki!!

mana sote ni Watanzania kwanini lazima hawe Mkristo
Mkatoliki tu ❗😳❗

Na hasiwe dhehebu lengine
ukweli sio haki mbele za haki

kiongozi yumkin sifa zote anazo lkn tatizo tu sio Mkatoliki anapoteza sifa zote za jumla ❗

sipingi Ukatoliki mwenyewe nimezaliwa hospital ya kikatoliki mwenangu wa kwanza pia kuzaliwa kwao !!
lkn ukweli kwenye mizani ya Haki si Haki ✍️

Lkn mshangao Wakristo wote wameimbishwa nyimbo moja na Kanisa Kotoliki Samia must go Aleluyaaaaa
Yalivo mazombi chuki sisizo na macho yakaimba yoteeee Samia must go Aleluyaaaaa
Naona mmedhamiria kuipeleka nchi kwenye udini
 
Ukweli sisi tunaojitolea kulipa makavu Kanisa Kotoliki kwa matendo yake yasio na uwajibikaji matendo yenye kupanda mbegu za utengano badala ya Umoja

Wkt tunawapa maneno aya tunajua Kanisa Kotoliki lina nguvu nyungi za kila namna
Wana kilakitu mikonani mwao ikiwemo Wajuzi wabobevi wa IT :BanHammer: tunajitolea japo tunajua tunaweza kufikiwa na Kanisa Katoliki Wengi wanaogopa kulipa ukweli Kanisa Kotoliki japo hawavutiwi na matendo yao !!

lkn sisi tunajitoa kusema kumea kwani tusiposema utengano utakuja kutusuta siku za mbele kizazi chetu kitakuja kujikuta kiko kwengine baada ya wao kuwa wakimbizini kwa watu watatuona sisi sote wapumbavu mbele yao😳

Neno lolote lenye kujitenga kidini kikabila kikanda kwasababu tu za maslahi ya Kanisa katoliki lazima tutapinga kwasababu sio rafiki na Umoja wa kitaifa

Kanisa katoliki waelewe kwa heshima
Sisi sio mbumbumbu wa kumbukumbu zao tangu 1990 mpaka sasa tupo 2026

Miaka iyo 35 tuwanawaomba wakitaka kuwadanganya watoto wa miaka 18-20
kwamba wao wanapigania Demokrasia
au
wanapiganiq HAKI

basi wawadanganye Watoto kimya kimya kwenye parokia zao 😳😳

Uku nje ya Kanisa !!

Wengine tunakumbukumbu zenu
Nyingi
Ukweli mnapigania mikate yenu tu sio Demokrasia
sio Haki!!

Kwa mfano mwaka 2001 chama cha CUF walifanya Maandamano makubwa wakipinga tume ya Uchaguzi wakitaka Demokrasia kwenye tume ya Uchaguzi ❗❗ wakauwawa wengi
wakakamatwa wengi mpaka Mashekh

lkn sisemi Nyinyi Kanisa miliuwa hapana Kanisa ni Safi
lkn
Kanisa lilikuwa kwenye mafasi gani kipindi kile cha mauaji 😳😳❗❗

Matamko yale ndio HAKI kweli kile mlifanya kinafanana na wapigania Demokrasia kweli ❗

Kwakuwa Rais ni Benjamin William Mkapa Mkatoliki mwenzenu

Japo basi mmngekaa kimya kuunga mkono kimya kimya mauaji ya Waandamanaji wana chama wa CUF

lkn Chuki zenu zilikuwa waziwazi kiasi mkawa mnatoa matamko ya kutaka vyombo vya Usalama kuongeza nguvu kupambana na wanaCUF
Wenye kuandamana kwa Amani

Mkawaita wafanya fujo wavunjifu wa Sheria wavunjifu wa Amani wanatumwa na Waarabu
Nguvu ziongezwe manake wapigwe zaidi wakapigwa kweli kweli 😳😳😳

Mo29 hakuna Sheikh yoyote katoa neno kusema Waandamanaji wauwawe au kulalamikia nguvu ndogo wakiwa na maana Kipigo kiongezwe
Mmeona tofauti hiyoo

Hakuna Sheikh mwenye kutambuliwa katoa neno la kuchochea kupigwa watu kutokea taasisi kubwa mfano wa Bakwata

kama vile wao waliongea kutokea Kanisa Kotoliki taasisi kubwa nchini!!!
 
Naona mmedhamiria kuipeleka nchi kwenye udini

Sisi tunazuiya kutokea janga la kidini
Mana ni baya sana kwa uwepo wa mshikamano na Umoja wa kitaifa

Lkn Kanisa katoliki linatakiwa kukemewa na wote wapenda Amani Mshikamano

Kwani matendo yake yapo waziwazi kujiingiza kwenye Siasa kwa lazima kwa Ubabe
Wkt yenyewe ni taasisi yenye usajili wa kidini sio kisiasa

Sasa wenyewe tayali wana chama cha Siasa cha kiutisha Serikali kinyume na taratibu za kisheria za usajili

JE na Waislamu wakiwa na chama cha Siasa unadhani nini kitatokea mbele ya Safari 😳 😳 ✍️
 
Ndiomana nasema jukumu zito la kupambana na wenzetu wa Taasisi moja ya Kikristo yani Kanisa katoliki ni letu sote sio Waislamu sio CCM sio madhehebu mengine pekeyao ni jukumu la kitaifa kulinda mshikamano wa kitaifa
Hakuna kuogopa hakuna kuona haya

Watoto wetu watakuja kuteseka kukaa kimyaa kwetu Watoto wetu wajukuu zetu wanakuja kubeba zigo zitoo sanaa

Nchi yoyote Duniani wakipuuza Sheria zilizo wazi kwanini zipo faida yake hipi kwetu sote lkn tunapuuza tu kwasababu za kijinga jinga
kuona aibu kusema kuogopa kusema

Basi Watoto wetu watakuja
kutulaani vibaya mbele ya Safari!!!

Kanisa Kotoliki linafanya fujo zake baada Mwalimu Nyerere kufariki ✅
tunajua wasingesubutu
kufanya haya wanafanya sasa

kujimilikisha chama wkt wenyewe wana usajili wa Taasisi ya Dini
Wanazitumia vibaya parokia zao kisiasa

Wanafanya parokia kama ni jumuiya kama nyenzo za kisiasa kuwafikia Wananchi kupeleka malengo yao ya Kisiasa kinyume na Usajili wa Taasisi yao✍️
 
Nyuma ya mateso na kesi cha mchongo kwa Tundu Lissu kuna mama katili na muuaji anaitwa Samia Suluhu Hassan.
 
Mungu hatambui mamlaka ya kujitwalia kijambazi.

Utashi wako wa mlengo wa kisiasa unakupotosha

Tanzania kulifanyika Uchaguzi October 29 maeneo madogo % kiduchu ndio kulitokea matatizo kidogo

Mikoa yote kumefanyika Uchaguzi kwa Amani kabisa ✍️
 
Mnaopinga kwamba Uchaguzi haukuwepo haukufanyika

Jibuni ni mkoa gani kwa %100 Hakukuwa na Uchaguzi kwanzia Kata zake mpaka Wilaya zake kufikia Mkoa wake

Tunaomba mkoa mmoja tu kuthibitisha madai yenu kuwa ya Kweli❓

sio propaganda marehemu za ki Aleluyaaaaa Samia must go Aleluyaaaaa ✝️
 
Baada ya kushindwa kuzuiya Uchaguzi kufanyika kivitendo ‼️

Sasa mnakana kufanyika Uchaguzi kwa njia ya propaganda
media 🤣
 
Utashi wako wa mlengo wa kisiasa unakupotosha

Tanzania kulifanyika Uchaguzi October 29 maeneo madogo % kiduchu ndio kulitokea matatizo kidogo

Mikoa yote kumefanyika Uchaguzi kwa Amani kabisa ✍️
AMA una uvivu wa kufikiria AU ni mtumwa wa maslahi yako binafsi.
 
Nyuma ya mateso na kesi cha mchongo kwa Tundu Lissu kuna mama katili na muuaji anaitwa Samia Suluhu Hassan.

Kesi ya mchongo lkn mwenyewe mhe wako mwenye kujua Sheria kuliko wewe nyumbu nyumbu

Lissu kwenye Clip yake mwenyewe kasema kinagaubaga kwamba ninacho fanya ni Kosa la Uhaini yeye Lissu kasema sio mm :BanHammer:

Lkn wewe kondoo uliopotea Aleluyaaaaa unadai
ni kesi ya Mchongo ‼️
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Unaonaje serikali ikalifungia kanisa katoliki?
 
Unaonaje serikali ikalifungia kanisa katoliki?
haina shida nalo kwasababu ni kataasisi kadogo tu ambako changamoto yake ni baadhi tu ya viongozi wake wachache sana ambao neno la Mungu limewalemea kulihibiri na wamegeuka na kua wanasiasa wanaofanya siasa maji taka madhabahuni,

na hao kudeal nao ni rahisi tu kisiasa 🐒
 
Ungejibu kwa Hoja
wasomaji wapate kukuelewa kwanini unadai hakukuwa na Uchaguzi
wkt Watanzania walienda kupiga kura Namimi nikiwemo❗
Usitake kupotezea watu wengine muda. Watu ambao kazi yao ilikuwa monitoring of the election process overwhelmingly wamesema “There was no election…”, wewe ni nani useme kulikuwa na uchaguzi?
 
Mungu hatambui mamlaka ya kujitwalia kijambazi.
Hiyo si mamlaka ya kimungu ni ya kibinadamu

Kama wewe bi muumini utatambua Kwamba enzi zile za manabii hakukua na domokrasia… unakatwa kichwa falme zinaendelea

Sijui mtajifunza lini kuchanganya dini na domokrasia
 
Back
Top Bottom