Lkifutwe nanani kwa misingi ya nini Kanisa ni muhimu kuwepo kwa maslahi ya CCM kuendelea kuongoza taifa
Serikali haiwezi kufuta UKRISTO Kanisa Kotoliki au UISLAM sababu ni nguzo kuu za Serikali na CCM yenyewe ✍️
Ugomvi wa Kanisa katoliki ni kama wivu wa wake wawili kwa Mume mmoja kwa mume wote wawili wanaumuhimu sanaaaa !
Wivu wa Kanisa katoliki ni kusema kwasasa Mume yupo kwa mke mwenzie na simwengine ni muislamu
Mume akija kwake Wivu wake unaisha na utamuona akitabasamu kila wakati pasi sababu yoyote
Vitimbi vya Kanisa Kotoliki ni vya muda tu lkn lenyewe lipo kwenye ndoa
Vuta Kumbukumbu 2015 jinsi Kanisa Kotoliki kupitia Dkt Slaa pale Serena hotel wkt Dkt Slaa anaongea na vyombo vya habari na kusitisha alakati za kuiondosha CCM Madarakani 🤠🤠
Nyinyi nyumbu tukiwapigia kelele mnatuona sisi vichaaa
Kumbe sisi ndio tunasema kweli na huko kwengine ndio
wanawadanganya kama wapumbavu na watoto ❗😳😳
Elimikeni nyumbu kisa cha Dkt Slaa
Hile 2015 kilitokana na ukweli huu
Rip JPM CCM ni Kanisa Mkatoliki
Na
Rip Edward Lowassa Chadema alikuwa Kanisa KKKT
Kanisa katoliki wanaitumia Chadema kupambania Maslahi yake kama Kanisa katoliki ✍️
Sio Demokrasia

sio Wakristo

Nyinyi nyumbu wengine mtabaki nyumbu kila siku kama vichwa vyenu vimekuwa vya kufugia nywele ✍️