Ni utaratibu wa Katoliki kuombea mauaji ya kisiasa waliyochochea wenyewe lakni hawawezi kuwaombea waliouawa na Mkapa Januari 2001.Misa ya kuombea marehemu ni utaratibu wa Katoliki, unalijua hilo..?
Hawawezi kuwaombea waliofariki MV Bukoba?
Ni utaratibu wa Katoliki kuombea mauaji ya kisiasa waliyochochea wenyewe lakni hawawezi kuwaombea waliouawa na Mkapa Januari 2001.Misa ya kuombea marehemu ni utaratibu wa Katoliki, unalijua hilo..?
Wenzenu wako busy na matamasha ya kwaya wana enjoy maisha na kumtukuza Mungu wala hawana story na hizo blablaa zenuKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Hama kitu kama ibada ya ghasia, ibada inafanywa kwa utulivuKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Hujawahi kuwa mkatoliki. Wewe ni kobazi .Viongozi wetu wa Kanisa Katoliki wasikubali kutumiwa au kutumika na CHADEMA.
Viongozi wa Chadema ni wahuni/ magaidi wanao hamasisha vurugu na uvunjifu wa Amani ya nchi yetu.
Sijui kwanini Msajili wa Vyama vya siasa hafuti hili genge la majambazi.
Ni heri waumini wana mioyo safi ila hawa viongozi wao ni hatari.Katoliki ni watu hatari sana kwa roho zao mbaya
We ni kobas kenge usio jielewakwahiyo ukweli usielezwe kama ulivyo gentleman, kwa vile tu wewe umevamia siasa huku ukiwa sio mwanasiasa right? Tukuonee huruma na porojo zako za kinafiki na kujipiga kifua kua ni muerevu, right?
mtu muerevu daima hajipigi kifua jukwaani,
na wala haexpose unafiki wake kama ulivyojiexpose wewe hapo juu gentleman.
muerevu anatoa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya hoja mahususi mezani bila makasiriko, mihemko na bila kujipiga kifua kindezi hivyo gentleman.
Na kwa taarifa yako,
kanisa katoliki kupitia chadema,
wanachochea chuki na uhasama miongoni mwa waTanzania, na hata mgomo wa kula chakula wa Tuandulisu, una msukumo wa tec na ni script ya kitima.
Na ndo maana nimeshauri vyombo vya usalama kuwafuatilia tec na chadema kwa karibu zaidi
nenda kawaambie na wenzako kuhusu hili![]()
Kwa namna mambo ya livyo bora waje tuYes,
that's true gentleman,
walianza Rwanda, wakaenda DRC na sasa wameingia Tanzania.
Mwalimu P,Mkuu Scott junior , asante kuniita,
Mkuu Tlaatlaah , with due respect, tutakushukuru kama utathibitisha Kanisa Katoliki linaituaje Chadema
Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki lina malengo ovu na nia ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM?
Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki ni wachochezi, wamechochea fujo, ghasia na maafa katika taifa letu?
Can you please share hayo maelekezo ya Kanisa Katoliki kwa Chadema,
Unaweza kuthibitisha kanisa kufanya ibada ya ghasia?
Naunga mkono hoja ya Watanzania kuungana kupinga nio ovu yoyote
Ukiweza kuthibitisha hili la Kanisa Katoliki kuutumia mgongo wa Chadema, tutakushukuru
Naunga mkono hoja, ila ni baada ya uthibitisho!,
Nimekaa pale na kusubiria uthibitisho wako, ila pia naomba nikupe angalizo, ukiweza kuyaepuka haya mambo ya kuhusianisha dini na siasa, urais wa Tanzania ni zamu kwa zamu kati ya Muislamu na Mkristo, na kwa Tanzania, ikatokea kila rais anapokuwa Mkristo, ikawa inatokea anakuwa ni Mkatoliki, sasa kwa vile 2030 ni zamu ya Mkristo, na Dr. Nchimbi ni Mkatoliki, akapigwa majungu ili asiwe na fitna zikafanywa mpaka kikamkuta kilichomkuta, ila Mungu mkubwa, Deo pia ni Mkatoliki, Konda Boy ni Mkatoliki, ukiubeza ukatoliki kwa uongo na uzushi, hautukosei tuu sisi Wakatoliki kajam.a nani bali unawakosea viongozi wako wakuu!, nakuomba jiepushe ili tusiumizane!.
Kuna wengine wetu humu, tunauwezo fulani, unapotuumiza, tukaumia, matokeo yake huwa ni mabaya kwa wanao tuumiza, nakuomba sana jiepushe na hili tusje kuonana wabaya mbele ya safari
Please!.
P
si yeye gentleman,sasa Lissu kugomea chakula inakuaje ghasia kwa taifa lote?...
au huko magerezani ni wafungwa wangapi wanagoma kula, nayo ni ghasia au maafa kwa taifa?

yaani ni viongozi wawili tu pale tec ndio wanalichafua kanisa katoliki aise kupitia mgongo wa chademaViongozi wetu wa Kanisa Katoliki wasikubali kutumiwa au kutumika na CHADEMA.
Viongozi wa Chadema ni wahuni/ magaidi wanao hamasisha vurugu na uvunjifu wa Amani ya nchi yetu.
Sijui kwanini Msajili wa Vyama vya siasa hafuti hili genge la majambazi.
