Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 2,231
- 3,737
Lisu anagoma kula kwasababu, mabaradhuli wanakiuka maagizo ya mahakama na kudharau haki kwasababu wana nguvu ya dola, sauti ya mtu mpumbavu imeinuka juu kutetea uovu na uonevu, hakika sauti hii inasikika, siku mchungaji atapigwa na kondoo wote watatawanyika.Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Only time will tell🙏

