Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Afe tu huyo Lissuugonjwa wako wa extremism uko hatua mbaya hadi hauoni utu
Afe tu huyo Lissuugonjwa wako wa extremism uko hatua mbaya hadi hauoni utu
Sio Mara ya kwanza Lissu kugomaKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
ndugu yangu unatakiwa uwahishwe hospitaliAfe tu huyo Lissu
,Serikali Sikivu ya Jemedari, dakitari raisi, mama na kipenzi cha watanzania ambao wapo tayari kufa kwa ajili yake.Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Yaani ulivyojaa chuki dhidi ya TEC, bila shaka hata ukikosa choo kikubwa kwa siku kadhaa utawasingizia TEC ndiyo wamesababishaKupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu.
Mungu Ibariki Tanzania.
hakuna chuki wala haja ya makasiriko wala mihemko kwenye jukwaa la siasa gentleman.Yaani ulivyojaa chuki dhidi ya TEC, bila shaka hata ukikosa choo kikubwa kwa siku kadhaa utawasingizia TEC ndiyo wamesababisha
Shida ni pale unapoleta hoja bila kuwa na concrete evidence kuthibitisha madai yako. Ndiyo maana inaonekana ni majungu tu na chuki binafsihakuna chuki wala haja ya makasiriko wala mihemko kwenye jukwaa la siasa gentleman.
na muhimu zaidi ukweli uelezwe bila kificho na itapendeza zaidi 🐒
Yes,,Serikali Sikivu ya Jemedari, dakitari raisi, mama na kipenzi cha watanzania ambao wapo tayari kufa kwa ajili yake.
In the name of Lucas Mwashambwa.
Kwamba mungu wao mkali,hiyo Imani ya kulipigia goti zege walilotengeneza wenyewe wakiliomba!?..kuwa seriousNchi yeyote ambayo ipo kinyume na Kanisa katoliki haina kabisa Amani, na watawala ni mwendo wa kufa anakuja mwingine anakufa anakuja mwingine anakufa wanafanya majadiliano hawaelewani wanauana anakuja mwingine etc
zipi hizo gentleman,Shida ni pale unapoleta hoja bila kuwa na concrete evidence kuthibitisha madai yako. Ndiyo maana inaonekana ni majungu tu na chuki binafsi
Wewe kilaza kweli kwa hiyo mtu akisema anagoma kula unataka akwambie anagomea chakula gani? Si uende magereza ukawaulize wewe kichaaHali chakula gani?
Hawa wazugaji wa migomo ya kula unakuta anakunywa uji au matunda na kunywa maji kila siku halafu anasema yuko mgomo wa kula
Tanzania haitaruhusu wahuni wachache kuvuruga amani ya nchi.uko sahihi 100% ndugu mdau wa JF,
inasikitisha sana na inafedhehesha sana aise,
yaani maelfu ya wafu wa ajali ya mv bukoba, mamia ya wafu wa ajali ya mv liemba, mamia ya wafu wa ajali ya treni dodoma hawa wahuni wa tec hawajui au hawa wafu hawana umuhimu wa kufanyiwa ibada ya misa takatifu?
hawa wahuni wa madhabahuni wanakwenda kulichafua kanisa kwa hakika. Halafu, kwanini wanaitumia chadema kufanikisha uhuni wao?![]()
Maono yangu bado yako sahihi 💯 %!mi nadhani ungetamani zaidi kutibua minywele kama mwendawazimu, halafu pia ukachukua uamuziu wa kiwendawazimu kugomea kula msosi kwa hiyari yako, afya yako na uhai wako ingependeza zaidi gentleman![]()