Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

muerevu mwenye akili nyingi sana,
jikite kwenye hoja mahususi mezani bila kuexpose ulivyo na mihemko nonsense jukwaani na itapendeza zaidi :NoGodNo:
NCHIMBI

WATANZANIA PIGANIENI KATIBA MPYA.
nchimbi ana akili kuliko wewe takataka
 
Kila zama na machawa wake!Humu walishapita machawa wengi sana,tukawaambia Kuna kesho ni bora mkasimamia ukweli!Mpaka Leo washazikimbia ID zao!
Nyinyi machawa mliokuja na kimbunga hiki,mtapita maana Huwa mnasurvive kwa msimu tu!
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
haki inamtindo wa kujidai yenyewe yaani hata wasingekuwa hao tec au chadema basi ungeshaangaa vitoto vichangaa vingelea mahospitalini huko haki haki haki...giza halijawahi kuishinda nuru..
 
Mkuu Scott junior , asante kuniita,
Kupitia TEC,
Kanisa Katoliki linaitumia Chadema
Mkuu Tlaatlaah , with due respect, tutakushukuru kama utathibitisha Kanisa Katoliki linaituaje Chadema
kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM
Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki lina malengo ovu na nia ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM?
na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu.
Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki ni wachochezi, wamechochea fujo, ghasia na maafa katika taifa letu?
Kupitia Chadema, kanisa limeelekeza Chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026,
Can you please share hayo maelekezo ya Kanisa Katoliki kwa Chadema,
siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.
Unaweza kuthibitisha kanisa kufanya ibada ya ghasia?
Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu
Naunga mkono hoja ya Watanzania kuungana kupinga nio ovu yoyote
ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ukiweza kuthibitisha hili la Kanisa Katoliki kuutumia mgongo wa Chadema, tutakushukuru
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya TEC kupitia Chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Naunga mkono hoja, ila ni baada ya uthibitisho!,
Nimekaa pale na kusubiria uthibitisho wako, ila pia naomba nikupe angalizo, ukiweza kuyaepuka haya mambo ya kuhusianisha dini na siasa, urais wa Tanzania ni zamu kwa zamu kati ya Muislamu na Mkristo, na kwa Tanzania, ikatokea kila rais anapokuwa Mkristo, ikawa inatokea anakuwa ni Mkatoliki, sasa kwa vile 2030 ni zamu ya Mkristo, na Dr. Nchimbi ni Mkatoliki, akapigwa majungu ili asiwe na fitna zikafanywa mpaka kikamkuta kilichomkuta, ila Mungu mkubwa, Deo pia ni Mkatoliki, Konda Boy ni Mkatoliki, ukiubeza ukatoliki kwa uongo na uzushi, hautukosei tuu sisi Wakatoliki kajam.a nani bali unawakosea viongozi wako wakuu!, nakuomba jiepushe ili tusiumizane!.
Kuna wengine wetu humu, tunauwezo fulani, unapotuumiza, tukaumia, matokeo yake huwa ni mabaya kwa wanao tuumiza, nakuomba sana jiepushe na hili tusje kuonana wabaya mbele ya safari

Please!.

P
 
Mkuu Scott junior , asante kuniita,

Mkuu Tlaatlaah , with due respect, tutakushukuru kama utathibitisha Kanisa Katoliki linaituaje Chadema

Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki lina malengo ovu na nia ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM?

Unaweza kuthibitisha Kanisa Katoliki ni wachochezi, wamechochea fujo, ghasia na maafa katika taifa letu?

Can you please share hayo maelekezo ya Kanisa Katoliki kwa Chadema,

Unaweza kuthibitisha kanisa kufanya ibada ya ghasia?

Naunga mkono hoja ya Watanzania kuungana kupinga nio ovu yoyote

Ukiweza kuthibitisha hili la Kanisa Katoliki kuutumia mgongo wa Chadema, tutakushukuru

Naunga mkono hoja, ila ni baada ya uthibitisho!,
Nimekaa pale na kusubiria uthibitisho wako, ila pia naomba nikupe angalizo, ukiweza kuyaepuka haya mambo ya kuhusianisha dini na siasa, urais wa Tanzania ni zamu kwa zamu kati ya Muislamu na Mkristo, na kwa Tanzania, ikatokea kila rais anapokuwa Mkristo, ikawa inatokea anakuwa ni Mkatoliki, sasa kwa vile 2030 ni zamu ya Mkristo, na Dr. Nchimbi ni Mkatoliki, akapigwa majungu ili asiwe na fitna zikafanywa mpaka kikamkuta kilichomkuta, ila Mungu mkubwa, Deo pia ni Mkatoliki, Konda Boy ni Mkatoliki, ukiubeza ukatoliki kwa uongo na uzushi, hautukosei tuu sisi Wakatoliki kajam.a nani bali unawakosea viongozi wako wakuu!, nakuomba jiepushe ili tusiumizane!.
Kuna wengine wetu humu, tunauwezo fulani, unapotuumiza, tukaumia, matokeo yake huwa ni mabaya kwa wanao tuumiza, nakuomba sana jiepushe na hili tusje kuonana wabaya mbele ya safari

Please!.

P
Tlaatlaah
 
in politics we always discuss issues as well as actors,
and If you thing you are so special than special itself,

you just break the law,
and you judged in accordance with the law. Your theatrics cannot prevent this from taking its course.
Obey the law voluntarily, and live in peace and civility, just like everyone else.:NoGodNo:
Thanks for your 'insidious' advice born out of might over reason.
Am not a politician anyway!
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Kitakachoifuta hewani serikali ile ni kanisa hili kwa upuuzi wa serikali ile inayojita chama cha siasa.
 
Kwa sasa,walio wengi, hawapambani tena na sisiem, ni mwendo wa kupambana na serikali ile!
Muundo wa chama kile ni muundo wa dola!
chama na serikali sikivu ya ccm viko bize kutekeleza ahadi walizowaahidi wananchi kwa maneno na zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya ccm toleo la 2025, ili hatimae katika uchaguzi mkuu wa Oct.2030, CCM walau ichaguliwe tena kwa kishindo hata cha 100%.

sidhani kama ccm inaweza kua na muda wa kupoteza au kubabaika na mihemko au makasiriko nonsense ya wasusa uchaguzi ambao wengi wanapitia changamota za kisaikolojia ambazo ni athari za kususia uchaguzi, kiasi kwamba wanamuona kila mtu ni mbaya kwao na kila kitu ni kibaya pia :pedroP:
 
Thanks for your 'insidious' advice born out of might over reason.
Am not a politician anyway!
ok.
rest in peace in advance politically speaking gentleman:pedroP:
 
.
 
Attachments

  • 1792593704320.jpeg
    1792593704320.jpeg
    35 KB · Views: 3
  • Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    Screenshot_20261018_145244_Instagram.jpg
    81.8 KB · Views: 4
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Mkuu nadhani umewahi mno kuamka na kuandika hujatafakari.Kanisa Katoliki sio kanisa au kikundi fulani ni taasisi kubwa sana.Kanisa linamiundo ya kiuongozi kuanzania muumini wa chini hadi kwa askofu.Viongozi wa kanisa wamegawnyika na wengi wao ni vingozi wa kiserikali au vyama sasa sijui unawazungumzia watu gani.Ndani ya kanisa pamoja na migawanyiko ya itikadi lakini tunaishi on diversity.Nikuulize kwa mfano mdogo kwa viongozi ambao ni madiwani,wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa au mawazili wenye vyeo ndani ya kanisa nao wapanga maandamo?.Hivi zile vurugu za CUF 2001 zililetwa na TEC au vyama vya siasa?.Iheshimu TEC liheshimu kanisa katoliki kwa kuwa ni pengine ndio taasisi isiyo ya kiserikali yenye mchango mkubwa wa maendeleo kuliko kampuni au taasisi nyingine yoyote Tanzania
 
Back
Top Bottom