Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Acha kukuza mambo na kuleta taharuki
taharuki iko wapi kwenye jambo hili la wazi kabisa gentleman kisiasa?

kwamba Lisu kuanzisha mgomo wa chakula sio script ya Kitima wa tec?🐒
 
In fact,
huyo muhuni haswa ndie mtu mbaya na analiaharibu kanisa katoliki na anakwenda kuiharibia hata chadema eti kwasababu tu mnyanturu mwenzake tundu lisu anasota korokoroni kwa kukika sheria za nchi kwa makusudi, basi anataka kuchochea chuki na ghasia, taifa zima tupate matatizo.

nadhani hii haikubaliki,
na anafaa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria:NoGodNo:
Kinachonishangaza ni Vatican wenyewe na Askofu wake. Hawa wote wanajua Kitima hana sifa ya uongozi ndio maana hata wao HAWAJAWAHI na HAWATAWAHI kumpa Uaskofu kwasababu wanajua ni mtu asiye na uwezo.
 
Wewe kilaza kweli kwa hiyo mtu akisema anagoma kula unataka akwambie anagomea chakula gani? Si uende magereza ukawaulize wewe kichaa
Wewe malaya uko humu unauza xuma tokea 19 kweusi hujapevuka tu mpaka leo unawaza kudanga
 
Kinachonishangaza ni Vatican wenyewe na Askofu wake. Hawa wote wanajua Kitima hana sifa ya uongozi ndio maana hata wao HAWAJAWAHI na HAWATAWAHI kumpa Uaskofu kwasababu wanajua ni mtu asiye na uwezo.
Uko sahihi 100%🤝,

huenda hata mauaji ya yule binti albino alieuawa na padre mkatoliki ili atumie viunga vya albino yule kwaajili ya matambiko na ushirikina ili yule padre ateuliwe kua Askofu, huenda huyo jamaa uliemtaja pia alishiriki kwa namna fulani 🐒
 
mi nadhani ungetamani zaidi kutibua minywele kama mwendawazimu, halafu pia ukachukua uamuziu wa kiwendawazimu kugomea kula msosi kwa hiyari yako, afya yako na uhai wako ingependeza zaidi gentleman:NoGodNo:
Out of content snd context!
I thought we are discussing issues, not people!
 
I'm sorry,
may be im engaging with a guest in politics :1Head:
May be.
However, political endeavours where not designed to work out of consciousness and goodfaith!
Righteousness is not subjective until conscious is malfunctioning due to arrogance and defiance!
 
May be.
However, political endeavours where not designed to work out of consciousness and goodfaith!
Righteousness is not subjective until conscious is malfunctioning due to arrogance of power and the defiance!
in politics we always discuss issues as well as actors,
and If you thing you are so special than special itself,

you just break the law,
and you judged in accordance with the law. Your theatrics cannot prevent this from taking its course.
Obey the law voluntarily, and live in peace and civility, just like everyone else.:NoGodNo:
 
Nchi yeyote ambayo ipo kinyume na Kanisa katoliki haina kabisa Amani, na watawala ni mwendo wa kufa anakuja mwingine anakufa anakuja mwingine anakufa wanafanya majadiliano hawaelewani wanauana anakuja mwingine etc
Huna akili
 
Back
Top Bottom