Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

Trust me or not mr Tlaatlaah karma is real and it will *** you slowly and you will remember everything?
yaani watu waache ku Trust In God wa trust porojo, ramli na ushirikna wako gentleman

hiyo ni kitu useless kweli aise dah:pedroP:
 
Just chill and wait ....!
The God you are talking about ndiye aliweka misingi ya ulimwengu usitegemee ufanye unafiki ulipwe fadhila! Neverrrrrrrr !
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Una upumbavu wa kiwango cha juuu sana
 
Kwa nia njema. Hivi bro Huwa unapataga muda kama Binadamu mwenye Akili timamu na ukijua kuwa Kuna Mungu na ukutafakari ukiwa peke Yako hiki unachoandikaga humu kuwa ni sawa au umejitoa Akili kwamba huoni wala hujui chanzo Cha haya yote?

Bro hata kama uchawa, sio hivyo. Badilika na ujitahidi uwe hata na kautu kadogo.
Nataman wanaccm wote bila kujari nafasi yao, hivi kwa imani zao huwa wanatenga muda kukitafakari chama chao na matendo yake kwa ujumla?!
Mbona sioni wanaojifanya kuikosoa serikali wakijivua uanachama kulinda afya ya dhamiri!
Kwanini wanajifanya ni matendo ya waliopo juu huku wakinufaika na matokeo ya uovu huo!
 
Just chill and wait ....!
The God you are talking about ndiye aliweka misingi ya ulimwengu usitegemee ufanye unafiki ulipwe fadhila! Neverrrrrrrr !
In fact I don't care or wait useless issues gentleman

God is for all. Full stop.

Ramli na ushikina wako useless jukwaani katishie washirikina wenzio gentleman na itapendeza zaidi:NoGodNo:
 
KARMA IS REAL BROO!!!
 
Nataman wanaccm wote bila kujari nafasi yao, hivi kwa imani zao huwa wanatenga muda kukitafakari chama chao na matendo yake kwa ujumla?!
Mbona sioni wanaojifanya kuikosoa serikali wakijivua uanachama kulinda afya ya dhamiri!
Kwanini wanajifanya ni matendo ya waliopo juu huku wakinufaika na matokeo ya uovu huo!
mi nadhani ungetamani zaidi kutibua minywele kama mwendawazimu, halafu pia ukachukua uamuziu wa kiwendawazimu kugomea kula msosi kwa hiyari yako, afya yako na uhai wako ingependeza zaidi gentleman:NoGodNo:
 
KARMA IS REAL BROO!!!
Yes,
i agree with you gentleman,
ndio maana kuna mtu aliamua kutamani muonekano wa kiuwendawazimu akaanza kutibua minywele ila aonekane kama mwendawazimu, na sasa anawaza, anafikiri, anaamua na kutekeleza mambo ya kiwendawazimu kama vile kugoma kula, kitua ambacho kitamuumiza na kumuathiri yeye mwenyewe:NoGodNo:
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.

Kwanini kila kitu kinachopingana na mambo yanayoendelea, mnahusisha na kanisa katoliki?

Wakati Lissu anamsema vibaya Nyerere kuhusu Muungano, alitumwa na nani?

WAswahili wanasema, mbaazi ikikosa maua, huwa inasingizia jua.....

Kwa sasa watanzania wanajua nani hasa ni tatizo.....
 
Gentleman,
ni wazi,
katika eneo la maziwa makuu,
kama kuna nchi imestawi kiuchumi, kisiasa na kijamii, ni tulivu na ina maendeleo mazuri na amani, basi ujue kuna mkono wa kanisa katoliki,

Lakini pia katika eneo hilo hilo la maziwa makuu,
ikiwa kuna nchi ina vita visivyokoma, mauaji ya kutisha, uharibifu, ghasia, chuki, fujo na ukosefu wa amani, basi ukifuatilia kwa karibu utagundua chimbuko lake au chanzo chake ni kanisa katoliki, ndio maana tunaona mauaji yaliyotokea Rwanda, DRC na hata Tanzania, Kanisa katoliki liko nyuma ya uovu huo.

Waambie na wenzako plz:NoGodNo:
 
Mkiingiza mambo ya dini kwenye minyukano yenu, litawakuta jambo

Dini ina nguvu sana, ndani ya muda mfupi watu wanaeza kufyekana mapanga wote mkabaki midomo wazi

Naomba bwana Tlaatlaah usihusishe mambo ya dini kabisa
ni muhimu kueleza ukweli gentleman,
na wacha nikusanue jambo moja la ziada,

viongozi wa tec,
wanawachukia viongozi wa serikali sikivu ya ccm wasio, wakatoliki kama ukoma:NoGodNo:
 
Kupitia TEC,
Kanisa katoliki linaitumia chadema kama platform ya kuhamasisha na kutekeleza malengo na nia zake ovu dhidi ya serikali sikivu ya CCM na kuchochea tena fujo, ghasia na maafa katika taifa letu. Kupitia chadema, kanisa limeelekeza chadema kuhamasisha watu kugoma kula kuanzia tar.26.10.2026 hadi tar.29.10.2026, siku ambayo wamepanga kufanya ibada ya ghasia.

Ni vizuri kama taifa kuungana na kupinga nia na dhamira ovu ya kanisa katoliki kwa mgongo wa chadema dhidi umoja, amani na usalama wa Taifa letu.
Ni muhimu sana vyombo vya ulinzi na usalama kufuatilia kwa karibu zaidi dhamira ya tec kupitia chadema kwa taifa letu. :NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania.
Una mimba bibie?
 
Kanisa katoliki halina tatizo ila wahuni wachache ndani ya kinachoitwa TEC. Tukiliingiza kanisa zima kwenye hii ishu ina maana hadi kina mama wa jumuiya ya mtakatifu Mikaeli huko Masqaroda, Mbulu wanahusika. Inakuwa sio sawa. Hapa wanaoleta shida ni genge la wahuni wachache ndani ya TEC wakiongozwa na Kitima.
 
Back
Top Bottom