Shida kubwa mliyonayo CCM ni roho mbaya na kukosa akili.
Mtu kazungumza mambo ya msingi yanayohusu uhai na usalama wa Watanzania nyie mnajaribu kuhamisha mjadala kwa hoja za kipumbavu wti anatak urais.
Hizi propaganda zenu za kipuuzi zinazodi kuonesha kwa namna gani nyie ni washenzi na hamfai kabisa kuendelea kuliongoza hili Taifa.
Una hoja usikilizweWasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Ni kweli lakini kwa mazingira haya Tz Bado saanaSiasa achana Nazo watu wakikukataa watakuondoa kwa njia yoyote ile Kama MTU wao walivyomfanyia
Ndo mana nakwambia Gwajima hawezi kua na jeuri hio kama katoliki yenyewe imetikiswa sembuse yeye?? Think twiceHivi yule padre mama na muriro walijaribu kumwua anaendeleaje
Elewa ishu ni kumfanya awe mgombea Urais kupitia kutimkia upinzaniNitakuelewa kama Lissu atafutiwa kesi! Na Mdude na wengine wakirudishwa hai.
Nitajua amechangamsha Syt!
Mama yangu hawezi kua huyo unayemdhaniaLabda unaota usingizi wa kujifariji,Mama yako saa hizi anaogopa hata kutoka inje
Time will tell brother just pin huu Uzi wanguSiyo kweli. Hakuna mtu anayeweza kuonja sumu halfu ategemee matokeo mazuri. Mawazo yako ni kama ya wabongo waliokuwa wanasema Uhuru Kenyata alipokuwa anam-support Raila uchaguzi uliopita eti alikuwa anavunga ili Ruto apite! Theories za aina hii hazina uhasilia. Kwenye siasa hakuna kuaminina na unaweza kumtuma mtu kwenda kufanya maigizo na akakugeuka. Samia anavyochukiwa halafu akubali mtu wa kanda ya Ziwa apingane naye? Si watafanya kweli!
Wapenda haki, amani na usalama wa kweli sote tumefurahia, iwe senema, tamthiliya au igizo, ukweli umesemwa na utamuweka huru.Wanachadema wasishangilie sana hii sinema ya gwajima, hajaongea vile kwa bahati mbaya.
Tunaunga mkono kwa aliyoyasema ilaa tunaipinga dhamira iliyo nyuma yakeBii minitu, shetani amewaondolea akili.
Kama ulivyosema, Gwajima ametoa kauli iliyonyoka, kuwa utrkaji na mauaji ni ushetani. Amempa ujumbe kwa anayemiliki kikosi maalum cha watekaji na wauaji kuwa ajiweke kwenye nafasi ya wanaotekwa na ndugu wa wanaotekwa:
Amemwuliza itajisikiaje, kama Abdulu angetrkwa na kutolewa macho.
Jambo la ajabu, majitu yaliyojaa ushetani yanaanza kumlaumu Gwajima ambaye ametoa ujumbe mtakatifu na wa kiutu.
Kule si kuchangamsha kijana - rudia tena kusikikiza hotuba yake.Wasalaam,
WEnye macho wataona vipofu watasikia ila zile za ndani kabisa think tank wa system wameona Kanda Ile yenye nguvu lazima apatikane mtu wao ili wachangamshe uchaguzi 2025....
Muda si mrefu na yule wa kwao kutoka Kanda Ile Ile yenye nguvu nae atasogezwa pembeni kuongeza nguvu upinzani Kisha wale wanaosema Tz Haina demokrasia watashuhudia amsha amsha ya uchaguzi ambayo chadema na Lissu hawakuitarajia.
#NoreformNoelection inaweza kupitia kipindi kigumu na kupoteza maana kwenye uchaguzi huu.
Focus iwe kwenye ku ignore ili kupunguza attention kwenye hii trick ya system.
Nawasilisha.
Bila shakaUmeandika ukiwa unapumuliwa kisogoni
Na iwe hivyo kama ulivyo nenaKuna Awamu ya 7 mwaka huu 2025, na ni Mwanume, iwe ya Chisiemu au ya Chakwema au Chaquma tutajuana hukohuko.. Roho ya MUNGU imeniambia...
Ndio lengo lao hasa uamini hivoKule si kuchangamsha kijana - rudia tena kusikikiza hotuba yake.
Lile ni DUDE kashaliamsha.
Na iwe ivo ila asitokee chichiemKuna Awamu ya 7 mwaka huu 2025, na ni Mwanume, iwe ya Chisiemu au ya Chakwema au Chaquma tutajuana hukohuko.. Roho ya MUNGU imeniambia...