PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tuwe wazalendo

Mama kasema tuwe wazalendo
 
Kina watu huwa mda wote wanawaza vyama kuliko nchi hili ni tatizo lingine kwenye taifa. Watu hawa uona mtu ni mzuri akiwa kwenye chama chao akiwa kwengine mbaya.
 
Tatizo wengine hawaelewi na Ngoma ita act wa ma ccm kama yame react kweli kweli kumlinda mwenyekiti wao kumbe mchezo tuu
Cdm ni imani, hata wamlete nani kwa hoja zozote, hakuna uwezekano wa kuimaliza cdm kwa mbinu za kizamani. Halafu hakuna uwezekano wa Samia kukubali kuchafuliwa maana hana mvuto, hivyo kumchafua hata kama ni kiinimacho hakumlipi.
 
Kuanzia wiki ijayo mambo yatabadilika we mwenyewe utanishtua nimekaa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…