PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sio kama unavyotaka tuamini, wafuasi wengi wa cdm niwenye uelewa mkubwa. Inshort hakuna wajinga wengi kwa hivyo huko.
Mkuu kwani wafuasi wa chadema ni milioni ngap?? Ngoma inachezwa kwa ajili ya raia wapate muamko wa kumuadhibu mama kwenye kura wakati kitendo icho kitaenda kubariki uchaguzi mkuu Mwaka huu.

System isha hofu namba ndogo ya watu kwenye uchaguzi muamko wa NRNE ni mkubwa balaa
 
Umeyatoa wapi haya ,mwana wa Mungu yupo magereza alafu unaleta ujinga ,no.reform no election, asema Bwana , mnachokitafuta mtakipata asema Bwana
 
Kama cdm hawatashiriki, hata ifanyike drama gani, automatically wapiga kura watakuwa wachache. Fei toto kahamia Azam, umeona mashabiki wa Yanga wakienda kuishabikia Azam?
 
Umeyatoa wapi haya ,mwana wa Mungu yupo magereza alafu unaleta ujinga ,no.reform no election, asema Bwana , mnachokitafuta mtakipata asema Bwana
Ila wabongo punguzeni emotion mtumie akili bana
 
Kama cdm hawatashiriki, hata ifanyike drama gani, automatically wapiga kura watakuwa wachache. Fei toto kahamia Azam, umeona mashabiki wa Yanga wakienda kuishabikia Azam?
Ukaelewa we subiri
 
Nashangaa wanamuona heti Gwajima shujaa wakati mambo ya Utekaji yanaongelewa kila siku. Kuna watu wanaona Gwajima kama kaongea kitu Special au Kitu kigeni Hakijawai kusika maskioni mwa watu Watanzania wazee wa kwenda na Upepo wanawajua
 
Kabla ya Lissu kupigwa risasi Gwajima alikua ametoka kumwambia Lissu awe makini ni mtu janja flani tapeli tapeli Kama yule jamaa anayejifanya mwenyekiti mstaafu wa Kigoma kuwaamini kazi
 
Kabla ya Lissu kupigwa risasi Gwajima alikua ametoka kumwambia Lissu awe makini ni mtu janja flani tapeli tapeli Kama yule jamaa anayejifanya mwenyekiti mstaafu wa Kigoma kuwaamini kazi
Gwajima na mzee wa upako wenda wako idara nyeti
 
Wasalaam,

WEnye macho wataona
Yaseme aliyosema Gwaji Boy afu uone kama utalala kwako, bata wee.
 
Mimi nafikiri uwezo wako ni mdogo sana. Kama umemsikiliza Askofu GWAJIMA vizuri unatakiwa ugundue kwamba Yale yote aliyo ongea Kiukweli kabisa watu wa System ndio wamempa undani wa yote na Kwa hakika walitafuta mtu wa aina yake kutoka ndani ya CCM ili awasemee...!

Wanajua nguvu aliyo nayo GWAJIMA kisiasa na hasa kundi kubwa mtambuka Lililo nyuma yake.KIMSINGI HUU NI MWANZO WA CCM KUKUTANA NA WAKATI MGUMU SANA KISIASA. Mambo YAFUATAYO yatawahukumu CCM;

. Mauaji na utekaji watu.
. Uuzwaji Bandari kinyemela
.Kifo chenye utata Cha Magufuli
.Matumizi mabaya ya madaraka.
Hakuna namna CCM wanaweza kum win GWAJIMA ili arudi kuwatetea na maovu yao. Kule Kanda ya wasukuma ni kama wamesha achana na CCM Kwa ujumla wake.
NO REFORMS NO ELECTION.......!
 
Hakuna kitu hapa cha kujadili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…