PreGE2025 Nyuma ya Pazia: Gwajima kuandaliwa kuchangamsha uchaguzi mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ahsante kwakunielewa na tuzidi kuwaelewesha
basi kama kweli ulikuwa na lengo la kufikisha ujumbe huo; kwamba "CHADEMA wasitetereke, wa'focus' kwenye NO REFORM, NO ELECTION", kwa hayo uliyo andika hapo kwenye mada yenyewe; uandishi wako utakuwa ni wa shida kubwa sana!

Kwa msomaji wa kawaida, mada yako haina uhusiano wowote na CHADEMA kukomaa na NRNE. Naona sasa unahororoja tu na mengine yasiyo husika kabisa na ulicho andika.
 
Ametest upepo wa humu ameona haupo upande wa alichokiandika then ghafla amefanya U turn😄
 
Ametest upepo wa humu ameona haupo upande wa alichokiandika then ghafla amefanya U turn😄
Hata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.

Nimesoma mada yake hiyo nimeshindwa kabisa kujuwa alikuwa anataka kufikisha hoja zipi. Uandishi wake ni wa shida sana.
 
Hata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.

Nimesoma mada yake hiyo nimeshindwa kabisa kujuwa alikuwa anataka kufikisha hoja zipi. Uandishi wake ni wa shida sana.
Anataka kutuaminisha kwamba ya Mrema 1995 au Lowasa 2015 yatajirudia through Gwajima🤣🤣🤣
 
Umeishia darasa la ngapi?.
 
Nashangaa wanamuona heti Gwajima shujaa wakati mambo ya Utekaji yanaongelewa kila siku. Kuna watu wanaona Gwajima kama kaongea kitu Special au Kitu kigeni Hakijawai kusika maskioni mwa watu Watanzania wazee wa kwenda na Upepo wanawajua
Na ndio maana ccm wanatuchezesha masinema kila uchaguzi
 
Picha lazima lifanane na ukweli na ndo mana kama umenisoma vizuri sijapinga hoja zake na imelazimu azitumie kwa sababu ndio hoja zijazo trends Kawa sasa.

Swali langu kwako hii tabia yakufikiria Kuna mkubwa kuliko serikali ni kujichanganya kabisa hasa kwa serikali hii isiyoogopa chochote wala kuzingatiwa Miko...

Nakukumbusha hoja kama hii ilikua kwa Roma (Tec) kwamba haiwezi kuguswa mwisho wa siku wakawaonesha kwa father Kitima.

System ishasujudu pesa hakuna kingine chakuogopa.

Time will tell na si muda mrefu
 
Akili nyingine ni special sana.

Kwani tatizo la wananchi ni kukosekana kwa ĥamsha hamsha, kinachotakiwa nì reforms zinazohakikisha panakuwa ucĥaguzi credible sio maigizo ya uchaguzi. Usiwe fooled kirahisi hivyo.
 
Ndio maana ya fasihi mkuu.
 
Hata hiyo 'U-turn" yenyewe hajui namna ya kuitengeneza.

Nimesoma mada yake hiyo nimeshindwa kabisa kujuwa alikuwa anataka kufikisha hoja zipi. Uandishi wake ni wa shida sana.
Mwisho wa siku ushaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…