Tetesi: Nyuma ya pazia Rich Mavoko kuondoka WCB

acha uwongo mavocal " hana uwezo"?? wewe jamaa mbona muongo sana
 
kwani umemsikia wapi magical akitoa malalamiko kuwa diamond hamsaidii " tuanzie hapo kwanza
 
Mambo ya nyuma ya pazia ukiayapga chabo unaweza kupatwa na upofu....
 
Hata mimi naliona hilo Kuna udini WCB fuatilia watangazaji wa Tv na wafanyakazi utaona..
Ila ninyi waislam si ndo mnasemaga kuimba ni Ukafiri/Haramu
Kwahiyo wakuachie studio siyo!
 
Wee nae
Eti chozi la zee
Hata hueleweki
 
Huu Uzi unakila sifa zakufutwa hauna la maana zaidi ya udini
 
Mmemshindwa mondi kwa kumpoteza sasa mnaanza udini .......mama yako
 
Naamini 95% wcB wana katabia ka utapeli na ubaguzi hivi.
 
Nia ya diamond kumleta mavoko WCB ilikuwa kumshusha tu chini kimziki
Mimi mshabiki sana wa diamond,ila nakuunga mkono 100% jamaa anamtumia ili kumnyonya na kumshusha kimuziki.
 
Uko sahihi mkuu
 
It is just business nothing personal,na mwenyewe atoke aanzishe Kampuni yake,ndio tunavyokuwa hivyo,sidhan kama fifty cents,bado yupo kwenye Kampuni ileile iliyomtoa,amekuwa,ametoka,na yeye ametoa wengine,
Hayo ndio maendeleo,masuala ya kulalamika kwamba kuna udini,ni utoto mtupu,ubaguzi kwenye dunia yetu utakuwepo milele,
Wafaransa licha ya kushinda kombe LA dunia,lakini ukweli kwamba timu INA waafrika(weusi wengi)limewakereketa sana,furaha yao(baadhi),ingekuwa maradufu kama timu nzima ingekuwa na weupe(Anglo Saxon)watupu wenye asili ya ulaya na america,
 
Dini kivipi mzee wapi na wapi mzee unayumba huyo rich mavoko ata kanisani anakujua?muulize alienda lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…