Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei imedondoka au bado mnazi vilevile?
Nimekubali yaishe mtu kazifunzadume mzee mwenzangu umekuwa mkali kwenye huu uzi kama Le mutuz...may he continue to RIP.
Anyway kila mtu ana experience tofauti kwenye ujenzi. By the way hata ujenzi una mengi. Kuna hustle nyingi. Mafundi wetu wanakatisha tamaa kwa wizi, uzembe nk...
Overall hiyo nyumba ni nzuri. Seems mwenye nayo ni mtu anajielewa. Na inawezekana anaiuza kwa sababu ya shida ya ghafla. It's a beautiful house.
Huyu himars kama jinga vile .Ulishawahi jenga au ndo wasimuliwa habari?
Ipo mkononiBado ipo mkononi au sokoni
Bila shaka ishapata mnunuzi!
Mrembo nunua nyumba hiyoBila shaka ishapata mnunuzi!
Inawezekana ikawa haijapata mnunuzi bado.Bila shaka ishapata mnunuzi!
Ina hatimiliki?Ipo mkononi