ukiona dume zima linalalama kwa kushindwa kumanage his own issues tena in public, basi una haki kabisa tena ya lazima ya kuhoji upeo wake
Vyovyote vile au kwa sababu yeyote ile, huyu kilaza hana haki ya kulaumu nyumba ndogo PERIOD.Wengi mmeongea lakini ni vizuri kujua chanzo kilichomfanya mzee mpaka akaamua kuwa na nyumba ndogo,tusitake kutoa ushauri na kejeli ilhali hatujajua jinsi ya kutumia T3
Naja mbele yenu. Majuto ni mjukuu. Nyumba ndogo, hawara ama mpango wa Kando. Naja kuwalaani:
1. Mmenifanya nimdharau mke wangu. Mke wangu ameishi kwa masikitiko na manyanyaso yote ni sababu yenu.
2. Familia yangu nimeitekeleza. Kila nikitakiwa kutoa pesa najiona kama naonewa, si jukumu langu tena. Imekuwa kama natoa msaada. Mmenifanya nini nyie viumbe mliolaaniwa.
3. Mmeichukua Furaha ya Familia yangu. Sina muda wa kukaa na familia yangu. Mmenifunga na kufungik. Nyie viumbe mso na Huruma.
4. Mmenimiliki kama Asset yenu. Akili yangu mmeishika ikashikika. Nimeshindwa kuwekeza chochote, pesa zote mmezifyonza kama Viwavijeshi wanavyokula Shambani. Kuweni na huruma. Ihurumieni familis yangu. Mungu yupo awalaani.
Hivi kweli mnamjua mungu kweli. Mmeshindwa kuionea hurum familia yangu, mmeshindwa kuwaonea huruma watoto wangu wanavyopata tabu. Kila mkiniona na senti mnajifany mna hamu, kumbe ni ili mniikwapue.
Penzi lenyewe la kupimiwa kama umeme wa Luku. Haupatu hadi ujaze fomu ya maombi.
Mungu awalaani hadi mshangae!!
we mzee njoo nikufundishe jinsi ya kuwafanya hawa small house, mi kuna mmoja aliniomba nitae friji nyumbani nimpelekee yeye, hadi leo hana hamu, tatizo lako unaogopa kuambiwa tuachane kama vipi, siku hizi ni hit and run
Hahahah, kama nakuona vile;,ila ungejilaani na wewe na akili zako za kushikiwa ingekuwa vyema.
Kujivua gamba nimeshindwa. Wananiona kama Boya. I love you nyingi kumbe za wizi.
Wamekupata vipi? au ulianza kuwatafuta ukajikuta at a point of no return... kwanza inabidi usomewe ujikwamue nao halafu ndio uanze kuwapa laana kama bado unao laana haifiki....
Huo sio ushauri ni kashfa sasa. Kujamba cheche ina maana gani sasa.