Nyumba ninayoishi imeanza kuwa na vioja usiku

Hapo kwenye bangi asingeleta hata uzi hapa, bangi inacontrol hofu kwa asilimia 100%
 
Weka ear plugs wakafi wa kulala hautasikia vishindo vya wachawi
 
Uchawi wakwanza hakili mkuu kumbuka hakili inaweza kuumba unacho kifikilia au kukiamini

So acha kuamini unacho amini na kufikiri unacho fikiri

Matokeo take utaota unacho kifikilia na kuskia unacho kiamini
 
Mkuu yako ndogo! Mimi nikilala saa nane usiku naskia mlango wa chumbani unagongwa! Na mchana nashangaa mlango wa nje unagongwa ila nikitoka sioni mtu.
 
Upo sahihi mkuu ni akili tu
 
Chumvi hii, ndio ile hutumiwa na waislam kama ubani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23],huyo kama mie tu,

usiku kukaa mwenyewe ndani ni bora ni kakae nje nina kuwa na Amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…