Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Korogea chumvi ya mawe kwenye maji baridi ya baridi. Wakati unalala pindi unapokurupuka mwagia kuta na paa kwa hasira sana huku ukiwatukana kwa sauti kubwanikwangu, najibu vipiu mashambulizi ?
Kitimoto sili, bangi kuipata sio rahisi na ni risk, ntajaribu chunvi ya mawe kama nilivyoshauriwa
Ita watoto wa madrasa fanya kisomo, inatosha.Nimejenga mkuu, nikapange niache nyumba?
Ignore it. Puuzia.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
Kama paa lako ni la bati tarajia kusikia mchanga ukichurulizika usiku wa leo.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
@Mshana Jr samahani kuna tukio lilinitokea Mimi na ndugu yangu nyumbani, matukio Ni yaleyale lakini miaka tofauti...kuna mmoja wa ndugu yetu(dada yangu) aliingia chumbani ninapolala,hiyo ilikuwa mida ya usiku kama mida ya saa Saba hivi aliishia kwenye mlango na kwa bahati nzuri nilikuwa sijalala nilivyomuita jina hakuitika akanda chumbani kwake kulala. Kesho yake nikamwambia tukio Zima lilivyotokea lakini yeye anadai hatambui chochote kilichotokea.je hii inaashiria Nini ?!Bado unaweza kuitakasa kwa kuipiga chumvi.. Vyumba visivyolaliwa hakikisha vinahudumiwa walau mara mbili kwa wiki kuvipa uhai
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inaitwa matembezi ya usingizini .. Kuna watu hupatwa na hili tatizo anaweza kutoka mpaka nje ama akajiandaa kabisa na kuvaa uniform kama ni mwanafunzi lakini the next day hakumbuki kitu@Mshana Jr samahani kuna tukio lilinitokea Mimi na ndugu yangu nyumbani, matukio Ni yaleyale lakini miaka tofauti...kuna mmoja wa ndugu yetu(dada yangu) aliingia chumbani ninapolala,hiyo ilikuwa mida ya usiku kama mida ya saa Saba hivi aliishia kwenye mlango na kwa bahati nzuri nilikuwa sijalala nilivyomuita jina hakuitika akanda chumbani kwake kulala. Kesho yake nikamwambia tukio Zima lilivyotokea lakini yeye anadai hatambui chochote kilichotokea.je hii inaashiria Nini ?!
Pengine kweli mtu alijigonga.1. Siku za karibuni nimekuwa mtu wa kushtuka saa tisa na nusu nikitoka katika ndoto ambayo huwa siikumbuki ilikuaje, nakuwa na hofu na woga sana wakati huo.
2. Kuna wakati unashtuka unahisi kabisa hauko peke yako katika chumba.
3. Leo nimeshtushwa na kishindo cha kwenye dirisha, yaani ni kama vile mtu hakuona kioo cha alminium akajidunda kichwa, ila baada ya hapo sikusikia kinachoendelea.
Chanzo chaweza kuwa nini? Nifanyeje?
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwahiyo, vioja vyote unavyomtupia, maana yake aoe auUnatakiwa kuoa bwana mtu mzima mpaka saivi unaishi peke yako,Mimi jirani yako Baba Abuu
Mshana ashafika atakupa maelekezo akirudi break fupi.....Wanatest mitambo kwa ajili ya location ya sherehe za jumuiko la mwaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta kuhama hapo bila pesa ni shughuli unaacha kodi unahamaWakati mwingine tujifunze kuheshimu hisia zetu za ndani. Hama apoo apakufai
Kumbe ni kwako kabisa wala usihame. PazindikeNimejenga mkuu, nikapange niache nyumba?