Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

Unyama ni mwingi sana mkuu ,hapo kwa haraka haraka ni kama 40 feet uwe nazo kama 10.

4.5ml kontena la futi 40 kwahiyo ukiwa na 6ml unaingia ghetto.
Watanzania akili zetu ni za kuigana tu hatuna akili mbadala yule kafyatua tofali basi na wewe unafyatua tofali wakati kontena mbili tu, unapata ghetto la nguvu sana
 
Ngoja nifanye studies kuhusu nyumba za hivyo hapa Bongo.

Kuna Mgodi mmoja niliwahi kutembelea nilizikuta, japo hazikuwa na huo muonekano wa kuvutia.

Unaweza kuandaa maybe 35M hivi ukapata makazi ya kuishi huko Vijijini Kwa Wazee wetu.

Christmas na Mwaka Mpya unapeleka familia kwenda kuinjoi hewa safi na mazingira ya kuvutia huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…