Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Alikuwa hakai halo.
 
Aisee, hiyo nyumba unaiona ya kawaida? Ni sababu unaiangalia katika zama hizi, back then hiyo ilikuwa ni bonge la jumba, unatamani upigieopo angalau kapicha lakini muda wote pana ulinzi timamu, ingawa baada ya kustaafu alikuwa haishi hapo.
Walibaki watoto wake akina Anthony na Bakono
 
Hawa wa sasa mpaka wameanza kuteka na kuua raia kulinda ufisadi wao na future za watoto wao
 
Hawa wa sasa mpaka wameanza kuteka na kuua raia kulinda ufisadi wao na future za watoto wao
 
Wanasiasa hawaridhiki

Imagine Mhe. PM eti naye anataka kugombea tena Ubunge wakati huo ana uhakika wa kula na kuhudumiwa na Serikali hadi Siku anaingia Kaburini, bila kusahau mshahara wa 80% ya PM aliyeko madarakani ๐Ÿ‘Š

Ingekuwa ni Mimi ningepumzika zangu tu Siasa, nabaki kuwa Mkuu wa Chuo kama wengi wa PM hupewa hivyo vyeo, huku napata muda wa kukaaa na familia tu
 
Kwa maana hiyo mkuu, kama wanakaa nyumba bure,kula bure na usafiri bure, hiyo mishahara yao wananunualia peremende na kuhonga wadada tu.

Navohisi mimi sijui ningefanyia nini maana basic nazopambania zote zimelipiwa tayari. Wala nchi hao.
 
Kwa maana hiyo mkuu, kama wanakaa nyumba bure,kula bure na usafiri bure, hiyo mishahara yao wananunualia peremende na kuhonga wadada tu.

Navohisi mimi sijui ningefanyia nini maana basic nazopambania zote zimelipiwa tayari. Wala nchi hao.
Hao mshahara wao wanatumia kununua mahitaji ya kawaida tu mathalani nguo, kuhonga Vimada, kusaidia ndugu mitaji ya biashara ama kufungua biashara zao binafsi
 
Nadhani utakua umeiona nyumba moja tu, tena ni ile ya ujana wake. Ni muhimu kucheki na mahekalu ya wenza wake zaidi maeneo tofauti tofauti na wanawe maeneo mbalimbali nchini na huna haja kushangaa. Ni mahekalu ya maana haswa ๐Ÿ’
 
Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
Hakuchukia utajiri bali alichukia utajiri haramu wa kutumia mali za umma kujineemesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ