Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waswahili tumezoea kuhukumu tupendavyo.Kwani nyumba ya mkuu wa majeshi mstaafu inatakiwa iweje?
Alikuwa hakai halo.Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Ahahaha kujenga bado sana..Utajenga lini uache kulala kwenye mageto ya mashangazi?
Aisee, hiyo nyumba unaiona ya kawaida? Ni sababu unaiangalia katika zama hizi, back then hiyo ilikuwa ni bonge la jumba, unatamani upigieopo angalau kapicha lakini muda wote pana ulinzi timamu, ingawa baada ya kustaafu alikuwa haishi hapo.Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Hawa wa sasa mpaka wameanza kuteka na kuua raia kulinda ufisadi wao na future za watoto waoTanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Wanasiasa hawaridhikiUmenichekesha hiyo akitaka kuamka kula saa 8 za usiku....
Wewe si unaona wanapanga wawalipe mishahara wanawake wao wanakaa tu nyumbani, yaani nashukuru si mwanasiaha...ningetapika
Wanasiasa ni walafi asikuambie mtu.
Kuna mfano mmoja wa watoto wa shule za kayumba hawana outing na kama wakitoka kishule wanakwenda dsm zoo. Watoto wao kwenye English medium wanakwenda South Africa, Dubai na ufaransa
Unajua mshahara aliokuwa akipokea ni Tsh ngapi? Utashangaa 50,000 tu
Kwa maana hiyo mkuu, kama wanakaa nyumba bure,kula bure na usafiri bure, hiyo mishahara yao wananunualia peremende na kuhonga wadada tu.Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia
Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.
CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi
Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.
Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa
Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.
Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe
Kwanza duniani tunapita,utajengaje njiani?Ahahaha kujenga bado sana..
Kwani tumeletwa duniani kujenga..
Sasa kila mtu akijenga uwoni tunakalibisha 🏜️ na defforestation
Hao mshahara wao wanatumia kununua mahitaji ya kawaida tu mathalani nguo, kuhonga Vimada, kusaidia ndugu mitaji ya biashara ama kufungua biashara zao binafsiKwa maana hiyo mkuu, kama wanakaa nyumba bure,kula bure na usafiri bure, hiyo mishahara yao wananunualia peremende na kuhonga wadada tu.
Navohisi mimi sijui ningefanyia nini maana basic nazopambania zote zimelipiwa tayari. Wala nchi hao.
Nadhani utakua umeiona nyumba moja tu, tena ni ile ya ujana wake. Ni muhimu kucheki na mahekalu ya wenza wake zaidi maeneo tofauti tofauti na wanawe maeneo mbalimbali nchini na huna haja kushangaa. Ni mahekalu ya maana haswa 🐒Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.
Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.
Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.
Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.
Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.
Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Na kwanini tujenge ili iweje anKwanza duniani tunapita,utajengaje njiani?
Ulikuwa kwenye delegation ya maza?Ngongo kwasasa USA 🇺🇸
Nitajie kiongozi yeyote mwenye mwanamke mmoja, I said mwanamke, I didn't say MKE.Usisahau alikua na wake watano! Kila mtu huwekeza apendapo!
Hakuchukia utajiri bali alichukia utajiri haramu wa kutumia mali za umma kujineemeshaWanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
Fwata mfano wa BICHWA KOMWE - mwenye mjengo wake.Ahahaha kujenga bado sana..