Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.

Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.

Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.

Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Alikuwa hakai halo.
 
Aisee, hiyo nyumba unaiona ya kawaida? Ni sababu unaiangalia katika zama hizi, back then hiyo ilikuwa ni bonge la jumba, unatamani upigieopo angalau kapicha lakini muda wote pana ulinzi timamu, ingawa baada ya kustaafu alikuwa haishi hapo.
Walibaki watoto wake akina Anthony na Bakono
 
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.

Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.

Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.

Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Hawa wa sasa mpaka wameanza kuteka na kuua raia kulinda ufisadi wao na future za watoto wao
 
Umenichekesha hiyo akitaka kuamka kula saa 8 za usiku....

Wewe si unaona wanapanga wawalipe mishahara wanawake wao wanakaa tu nyumbani, yaani nashukuru si mwanasiaha...ningetapika

Wanasiasa ni walafi asikuambie mtu.

Kuna mfano mmoja wa watoto wa shule za kayumba hawana outing na kama wakitoka kishule wanakwenda dsm zoo. Watoto wao kwenye English medium wanakwenda South Africa, Dubai na ufaransa
Wanasiasa hawaridhiki

Imagine Mhe. PM eti naye anataka kugombea tena Ubunge wakati huo ana uhakika wa kula na kuhudumiwa na Serikali hadi Siku anaingia Kaburini, bila kusahau mshahara wa 80% ya PM aliyeko madarakani 👊

Ingekuwa ni Mimi ningepumzika zangu tu Siasa, nabaki kuwa Mkuu wa Chuo kama wengi wa PM hupewa hivyo vyeo, huku napata muda wa kukaaa na familia tu
 
Kutokujenga Mtumishi wa Umma Kwa mshahara wa talakimu sita ni kujitakia

Mshahara wa CDF ni zaidi ya milioni 12 Kwa Mwezi kama sijakosea.

CDF Mstaafu anakula 80% ya 12M, ambayo ni milioni 9.6 Kwa Mwezi

Ukisema ukope ili kujenga, Kwa mshahara huo haukosi kukopeshwa shilingi milioni 300.

Kwa maisha ya Kibongo Bongo, nyumba ya milioni 300 ni nyumba ya ghorofa moja yenye Vyumba zaidi ya vitano vya Kisasa

Kumbuka huyo CDF anagharamiwa na Serikali kuanzia chakula cha asubuhi hadi akitaka kuamka na kula saa 8 za Usiku.

Kwahiyo mshahara wake hautumii kwenye kununua chakula kama Mimi na wewe
Kwa maana hiyo mkuu, kama wanakaa nyumba bure,kula bure na usafiri bure, hiyo mishahara yao wananunualia peremende na kuhonga wadada tu.

Navohisi mimi sijui ningefanyia nini maana basic nazopambania zote zimelipiwa tayari. Wala nchi hao.
 
Hao mshahara wao wanatumia kununua mahitaji ya kawaida tu mathalani nguo, kuhonga Vimada, kusaidia ndugu mitaji ya biashara ama kufungua biashara zao binafsi
 
Tanzania imempoteza kiongozi muhimu na hodari Gen David Musuguri.

Nimekuwa nikifuatilia vyombo kadhaa vya habari ambavyo vimekuwa vikitujuza juu ya historia ya Gen Musuguri.

Nimesikiliza kwa makini mahojiano ya majirani zake Gen Musuguri Temboni Kwa Msuguri.

Nimeitazama nyumba ya Gen Musuguri kwa hakika ni nyumba ya kawaida sana huwezi kuamini ni nyumba ya CDF mstaafu.

Viongozi wa enzi za Mwl hawakuwa wezi.Itoshe kusema baada ya Mwl taifa lilitengeneza viongozi wezi,wabadhirifu na wasio na mapenzi ya nchi na watu wake.

Mungu aipumzishe roho ya Hayati Gen Musuguri mahali pema peponi.

Ngongo kwasasa USA 🇺🇸.
Nadhani utakua umeiona nyumba moja tu, tena ni ile ya ujana wake. Ni muhimu kucheki na mahekalu ya wenza wake zaidi maeneo tofauti tofauti na wanawe maeneo mbalimbali nchini na huna haja kushangaa. Ni mahekalu ya maana haswa 🐒
 
Wanafanya biashara,baba mshahara 45m kwa mwezi,akikupa mshahara mmoja baada ya miaka kumi utakua wapi kibiashara?!..nyerere alizuwia watu kufanya biashara na akiupenda umasikini, maana alichukia kweli mtu kuwa tajiri
Hakuchukia utajiri bali alichukia utajiri haramu wa kutumia mali za umma kujineemesha
 
Back
Top Bottom