Nyumba ya General Musuguri Temboni "kwa Msuguri" jijini Dar

Nakumbuka kipindi kile Magufuli ndio ameingia madarakani akafuta sitting allowances, akaziba Ziba na mianya yote ya upigaji hasa ile ya mishaara hewa.

Kuna watumishi baadhi waliachaga kazi na sababu waliyokuwa wanatoa eti serikalini Sasa Hivi hakuna maisha...

Yaani mbongo sehemu anayoajiriwa kama hakuna mianya ya wizi na ubadhirifu haijalishi analipwa mshaara kiasi gani yeye anakwambia sehemu hiyo Haina maisha... Na bahati mbaya sana hii imekuwa ni culture iliyokomaa
 
Picha wapi?
 
Udini
Hakutaka watz wawe matajiri,alitaka walingane vipato,usimuamini nyerere,ukimsikia anavyopinga udini utasema siyo mdini wakati ni chief architect,huyo cdf mwenyewe sijui mzanaki mwenzie!!?
Udini wa Nyerere ni kuzitaufisha shule za wakatoliki na waislamu wakaingizwa mule kusoma
 
Udini

Udini wa Nyerere ni kuzitaufisha shule za wakatoliki na waislamu wakaingizwa mule kusoma
Utaifishaji wa shule ilikua ni janja ya nyerere kuwazuwia waislam wasijenge shule zao,maana waislam walikua na msuli wa kifedha,sasa ukitaifisha shule maana yake utapata fursa ya kuwachuja shule za umma,alitaifisha shule lakini si shule zote za kanisa,huo ni ubalakala
 
Wizi upo,nani kapinga?!..lakini kila mtumishi wa umma huiba!...je bei ya vitunguu march-april dar haifiki laki tatu mpaka nne march april,je watumishi hawawezi kopa wakalima!?..je wakati wa nyerere hapakua na wizi?
 
Kajadiliane na mtu mwenye hoja zenye miguu na mkia ndugu yangu,na Mungu wako wa kizanaki,mle na ugali wa mtama na nyama za kuchoma
 
Kajadiliane na mtu mwenye hoja zenye miguu na mkia ndugu yangu,na Mungu wako wa kizanaki,mle na ugali wa mtama na nyama za kuchoma..

Kajadiliane na mtu mwenye hoja zenye miguu na mkia ndugu yangu,na Mungu wako wa kizanaki,mle na ugali wa mtama na nyama za kuchoma..
 
Kwanini waislamu hawakujenga shule kabla ya uhuru?
Maana waarabu walitangulia Tanganyika kabla ya wazungu however wazungu wakajenga shule zao kabla Nyerere hajazaliwa wakati wavaa vipedo wanachimba visima vya kuwadha wakimalizwa swala zao na kukariri kitabu cha majini
 
Ndugu yangu akimaliza kukujibu aje aseme waislamu wana NGO gani kubwa hapa nchini inayosaidia jamii ? Na wamejenga chuo, taasisi au hospitali kubwa ipi hapa nchini ?
 
Hili linahusiana nini na mada?
 
Wazanaki wamezoea nyumba za nyasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…