Nyumba ya msanii Lady Jay Dee kwa ndani inavyoonekana


Yeah hiyo ya Magesse kuhusu foundation yake niko familiar nayo... walikuwa wanahojiwa station gani
 
Yeah hiyo ya Magesse kuhusu foundation yake niko familiar nayo... walikuwa wanahojiwa station gani

Jide Alimualika magese kwenye kipindi chake cha diary na kumpa nafasi aielezee foundation yake hiyo kwa ajili ya kuwasaidia wanawake wenye matatizo ya uzazi, nilipenda walivyo mualika pia mama mjamzito, sikujua kwa nini but niliipenda ile style.
 

haha ray c ajenge wapi tunakaa nae huku mitaa yetu kapanga kajumba ka ajabu hako...

kutwa kutusumbua na Noah yake maana akianza kutoka mnajua bidada huyooo anatoks
 
haha ray c ajenge wapi tunakaa nae huku mitaa yetu kapanga kajumba ka ajabu hako...

kutwa kutusumbua na Noah yake maana akianza kutoka mnajua bidada huyooo anatoks

Chinekeee, This is abomination oooh, May God forbid it ooh, wonders shall never end in this land, i have heard a rumor/Gossip long a go that ray c bought a very expensive car that no any other celebrity in Tz have, i thought it was lamboghin whatever they spell it or buggati and now you are telling me she is driving Toyota Noah? , For this my cuzo, i think she deserves those insults and humiliation from T.I.D
 
hongera yake jd anajitambua namkubali kitambo komando
 

Umeongea Vizuri Sana...
 

binamu naona mshtuko umekuwa mkubwa hadi una flow kiinglish tu

zamani alikua anatumia crester ndio baadae akaanza kuendesha hiyo Noah
 
binamu naona mshtuko umekuwa mkubwa hadi una flow kiinglish tu

zamani alikua anatumia crester ndio baadae akaanza kuendesha hiyo Noah

Hiyo cresta nyeupe nilikuwa namuona nayo sana mitaa ya bunju kipindi flani, niliona ali post nyumba ivi juzi juzi tu baada ya kupata dozi alikuwa anadai anaijenga na ilikuwa nzur kwenye picha alikuwa ndo anamalizia rangi, sasa unavyoniambia tena kapanga, nyie hawa wasanii wanaotumia bhang c wa kuwaamin hat
 
hahaa full honi halafu kuna kamlima huwa hawezi kupandisha pale
ko mkisikia kwichu kwichu unajua Rehema huyo anatoka
na akianza kuita dada aje amfungie geti balaa

Binamu na wewe siku izi balaa dah, umenichekesha sana eti ukisikia kwichu kwichu ujue rehema kawasili aah dah, yan nazipata mbona izo yani mtu utakuta akirud tu anataka mtaa mzima wajue kaingia na hiyo mihoni sasa na unakuta mda mwingine mtu wa kufungua geti yupo getini ila basi tu watu mbwe mbwe, basi huyo rehema simpatii picha na huo mwili wake wa simba anavyopiga makerere mabeki tatu wanakimbiaje? Mmh nyie rehema huyu
 
Maji kwake ya shida nini naona ukoka haujatoka fresh?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…