warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nami nimeshangaa anaweza kua hata na 38 kazamani hakoo
38 hajafika bhna , ana 35 binamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nimeshangaa anaweza kua hata na 38 kazamani hakoo
Nampenda sana yani ndo ugonjwa wangu jide, namkubali kwa sababu anajielewa na sio kahaba aishi kwa kutegemea ma bwana na hanaga mda na mtu zaidi ya kutafuta pesa, ana mafanikio na hatujawah kumsikia akijigamba ovyo kuwa ana pesa, anajiheshimu sana
afu walivyokua mabogas hawajifunzi kwa jide ht kidogo
Juzi kwenye kipindi chake alionyesha Plot za kufa Mtu , Hongera zake .......Hala Hala G asijekimbia na begi kwenye Bajaji kama Mwenzie:A S 109: ....Nasema tu 😛eace:
Jaman ata akiwa na miaka 50 kwani cha ajabu nini? Si ni miaka jaman, mumuache bhana jide wa watu, mbona akina madonna na jlo wameenda age na bado wanadunda? Acheni hizo bhana
hata mimi binafsi nampenda na namkubali sana jide, ila si unajuwa tena hapa jf huwa tunatwanga kotekote?
kama uko karibu na jide nifanyie upelelezi kama huwa anaziona siku zake za hedhi basi anitafute nimpe ujauzito mengine yabaki siri yake na garder. hii mipesa ya jide lazima apatikane mtoto asome mapema wakati mipesa bado ipo lukuki.
Yes, kuhusu kupata siku za hedhi anapata maana aliwahi kuelezea experince yake wakiwa na happiness magese , nadhan walikuwa wana share experience kozi wote ni waathirika wa mambo ya uzazi
Nadhani kuhusu mtoto hilo ungemuuliza mungu mkuu, sababu hiyo ishu ipo nje ya uwezo wa jide, japokuwa anatamani sana mtoto kama wanawake wengine
Ana miaka 30 tu
Yes, kuhusu kupata siku za hedhi anapata maana aliwahi kuelezea experince yake wakiwa na happiness magese , nadhan walikuwa wana share experience kozi wote ni waathirika wa mambo ya uzazi
Nadhani kuhusu mtoto hilo ungemuuliza mungu mkuu, sababu hiyo ishu ipo nje ya uwezo wa jide, japokuwa anatamani sana mtoto kama wanawake wengine
Kumbe Jide ana tatizo kama la Magese... sad pole yake jamani
Vp naye alifanyiwa operesheni kama magese??
kwangu mwanamke kama anaziona siku zake ni lazima apate mimba.
Wote wanaweza kuwa na matatizo ya uzazi ila matatizo yao yakawa yanatofautiana, jide aliwahi kupandikiza (artificial insemination) kama sijakosea miaka ya nyuma na kubahatika kupata ujauzito ambao unasemekana ulitoka kutokana na mambo ya hali ya hewa
Na wakati akiongelea mambo ya uzazi, alikuwa na magese na mama mmoja mjamzito, waka share experience pale na kuwa influence wanawake wenye matatizo ya uzazi wajitokeze wasisikie aibu kwani huenda matatizo yao yakatibika, kuna foundation anaiendesha millen kuhus mambo ya uzazi so nadhan wakishirikiana na jide kwa kuwa wote wapo strong financially na wana ushawishi mkubwa kwa pamoja nadhani watafanikiwa
UKIMSAIDIA MWANAMKE, UMESAIDIA JAMII NZIMA.
Wekeni... zenu.... Tuzo....Binamu zavi njoo ujionee mambo ya jide uku halafu utuonyeshe na nyumba ya ndomo
Wekeni... zenu.... Tuzo....