Fytu kidog in good way wee jamaaa wee nimechek tuNadhani nyumba mikocheni inayojulikana Mama Kambona ameishi muda mrefu na kuimiliki ni ilipo Dsm International School (DIS).
Mwanae anayejulikana ni Neema aliyekuwa anafanya kazi British Council na baada ya kumaliza ndoa yake na Mchaga Masika akaamua kurudi Uingereza. Sidhani kama Kambona ana mtoto mwingine. Nadhani Kambona ana asili ya ugenious maana hata huyo neema ni kama akili zimezidi na kuwa fyatu kidogo in a good way.
Tumia akili. Soma ueleweKama ndio mshahara wa kazi yake ulitaka akaibe?
Ttzo liko wapi mkuuOscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Wewe uliyetumia akili umeshindwaje kunielewesha?Tumia akili. Soma uelewe
🗑️Wewe uliyetumia akili umeshindwaje kunielewesha?
Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Mtazamo wa nyerere haukuwa sahihi ila nia yake haikuwa mbaya kwa watanzania.Nyerere alikuwa dikteta uchwara,hojs zake zote alizompinga nazo kambona zilikuja 'kuprove failure',kambona alikuwa anaona mbali kutokana na exposure na elimu,nyerere alikuwa amemezwa na wachina,akaishia kufeli kwnye kila kitu,azamio la Arusha lilifeli,vijiji vya ujamaa vilifeli,ujamaa wenyeww ulifeli aliachia nchi kwa aibu watu wakiwa hawana chakula Wala mavazi!!
Unataka alipwe shilingi ngapi??Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
sawa, lakini angalia mataifa mengine yaliyo opt ubebari tangu mwanzoni, madeni yao yakoje?Kawaida ya binadamu Hana shukrani. Anapenda kulaumu vitu vidogo na kuacha mambo makubwa. Unasema mwaka 1961 tungeruhusu ubepari leo Tanznia ingekuwaje?. Unaongea hivyo kwa sababu hujayajua madhara ya ubepari. Mimi nashukuru Nyerere kukataa ubepari maana leo tu tunadaiwa trillion 82, je tungeruhusu wazingu wake mapema ingekuwaje?. Tungekuwa tunadaiwa trillion 200. Unapopinga Jambo Rudi nyuma ujiulize Ni kwa nini huko nyuma serikali iliamua ilivyo amua?.
Mtazamo wa nyerere haukuwa sahihi ila nia yake haikuwa mbaya kwa watanzania.
Hakuna askar magereza anaelipwa chini ya laki 5 huyo ni muongo...........
Naamini binadamu ni mbinafsi kwa asili... Ujamaa ndo maana umefail Dunia nzima.Kama tu nchi ina wasomi wengi kwa sasa lakini UBEPARI unaitafuna nchi sijui miaka ile nyerere angekimbilia ubepari nchi ingekuwa na hali mbaya kiasi gani yani mali nyingi zingekuwa chini ya wazungu na mambo ya vita ya madini yanayoendelea CONGO yangekuwepo hadi leon tz maana wazungu wasingekubali kutolewa kiboya na kwa umaskini wa enzi zile tungeuzwaa aisee so NYERERE alitumia akili sana kuukataa ubepari ila kilichomuangusha ni UJAMAA kufail...!! NYERERE angkuwa na ubepari bhasi amini hakuna Rais wa afrika angemfikia utajiriii hata nusu ila ajabu mzee yule hakuacha hata hisa yoyote sio kwamba alishindwa ila alifanya alichokihubiri UJAMAA jambo waliloshindwa viongozi asilimi 98 wenye asili ya kiafrika.
Vilevile, kama wao - Kambonas - hawana shughuli nayo, je wakiwapangisha wengine ni dhambi?Mtandaoni wakati mwingine muandishi anaweka yale anayoyajua tu. Je huko mtandaoni kuna taarifa kuwa watoto wake walirudi Tanzania au la? Kuna taarifa wako wapi kwa sasa?
Kambona alikuwa mwanglikana dini ya uingereza iliyotawala TanzaniaLakini Kambona kaonekana ndie aliyekuwa sahihi kuliko Mwalimu. Yafanyikayo sasa ni mawazo ya Kambona ya Nyerere yalishakufa kibudu
amini tena ukiangalia marais walivyojimbikizia mali...Naamini binadamu ni mbinafsi kwa asili... Ujamaa ndo maana umefail Dunia nzima.
Oscar Kambona ana mtoto wa kike ni Askari Magereza gereza la Karanga Moshi. Kama sikosei anaitwa Witness.
Huwezi amini mtoto wa Kambona analipwa mshahara usiozidi TSH laki tano.
Hivi unajua baada ya tanesco office ya kinondoni mbele yake kuna kiwanja kikubwa kimezungushwa uzio,mmiliki ni mama Maria Nyerere....amini tena ukiangalia marais walivyojimbikizia mali...