Mafisadi siyo majinga ya kujirekodi ndiyo maana yanafungwa vifungo vya nje.
 
Binafsi naungana na wajeda kina nyundo co company.

Hawajatendewa haki wakate rufaa ...
Kinacho sikitisha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii mfano ukitembelea temeke na viunga vyake utakutana na ma DALADALA yamekodiwa na wanawake wakicheza kwa kukata MAUNO au WOWOWO madirishani bila wasiwasi KABISA.

Ukichunguza kwa umakini unagundua wanakua wamelewa kwa bange,ugolo,pombe na vilevi vikali vikali

Ndio hao hao MALAYA wanao jiuza humo mabarabarani na kwenye mitandao mbali mbali..
 
Tunashukuru mahakama kwa hatua njema!

Wasiwasi wa walio wengi ni utekekezwaji wa hukumu ile!

Kwamba je ni kweli hao vijana watafungwa maisha gerezani au inje ya gereza?

Wamehukumumiwa kwa kubaka, je aliyewatuma hatima yake ikoje?

Au ushahidi hautoshi kumtia hatiani mtuhumiwa? Kwamba hakuwatuma bali zile zilikuwa nyrge zao tu wale vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…