Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kumá mamáe zenu ngome maisha wasenge nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatokaa hawa na hamtaamini,Kumá mamáe zenu ngome maisha wasenge nyie
View attachment 3111509
Hawatoki nakwambiaWanatokaa hawa na hamtaamini,
Au ushahidi hautoshi kumtia hatiani mtuhumiwa? Kwamba hakuwatuma bali zile zilikuwa nyrge zao tu wale vijana
Shetani Hayupo na wala hajawahi kuwepo.Polen sana ndugu zao wote vijana walikuwa na kazi zao nzur tu ujinga umewaponza
Watu wanapaswa kuelewa kwamba shetani yupo na ni mshambuliaji somen UFUNUO WA YOHANA 12
Sina mana iyo😂😂😂😂Kwahiyo hii hukumu ya kifungo cha maisha Leo ni fake?
Nimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.
Naomba kuuliza Yule aliyekuwa anavuta bangi na hakumuingilia Yule binti nae anahukumiwa sawa na Wake waliomuingilia🙏 Km ni sawa Basi Sheria Yetu itakuwa Ina Mapungufu kidogo
Utawaonaje jela ikiwa wewe upo nje ya jela mkuuWapumbavu kabisa.. Na tuwaone jela kweli
Sawa Amna shida mtumish endelea kuamini hivyoShetani Hayupo na wala hajawahi kuwepo.
Upumbavu na tamaa za watu ndio huwafanya kutenda makosa na maovu. Wala hakuna cha shetani.
Hata mahakamani Hakunaga msemo wa "shetani alinipitia". Hiyo haipoo.
You can reason and think critically to avoid problems and troubles.
Hakuna maswala ya shetani.
Hawa watatolewa, Wach out...ifike wakati kupunguza msongamano wawe wananyongwa. magereza zinazidiwa wingi wa watu.
Wanapoenda kulima..Utawaonaje jela ikiwa wewe upo nje ya jela mkuu
Kwahyo afande yeye hajakamatwa? Au yeye hausiki?Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.
Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.
Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.
Pia soma
Sio Kila jela ni kilimo,Kuna fani nying kule mkuuWanapoenda kulima..
Aiseee!Binafsi naungana na wajeda kina nyundo co company.
Hawajatendewa haki wakate rufaa ...
Kinacho sikitisha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii mfano ukitembelea temeke na viunga vyake utakutana na ma DALADALA yamekodiwa na wanawake wakicheza kwa kukata MAUNO au WOWOWO madirishani bila wasiwasi KABISA.
Ukichunguza kwa umakini unagundua wanakua wamelewa kwa bange,ugolo,pombe na vilevi vikali vikali
Ndio hao hao MALAYA wanao jiuza humo mabarabarani na kwenye mitandao mbali mbali..
sasa hawa unawaongezea na p.didy kwa juu...yani nimewafunga maisha na kila ijumaa,jumamosi na jumapili mtakuwa mnalala na p.didy
Samia ameongiaje kwenye hii kitu!?Sasa mpumzisheni Mama Samia mwenye kusimamia haki. Walikuwa wanamchafua kuwa serikali yake haitendei haki watu. Viva samia. Mitano tena. Mihimili yote iko fair fair fair fair
Shida sio hukumu,mahakama imefanya kazi yake inavyo takiwa,shida inakuja je iyo hukumu utekelezaji wake 😭Kuna Member Mmoja Hapa JF Alikuwa Anasisitiza Hakuna Kesi, Sasa Hukumu Imetoka, Ziletwe Thread Zake