Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Kumá mamáe zenu ngome maisha wasenge nyie
20240908_155032.jpg
 
Alipaswa kuitwa mahakamani yule Mother. Ila kesi ya kubaka ni vigumu kuthibitisha kwamba ulitumwa kubaka. Pia watuhumiwa wanajitetea hawajabaka so ni wazi ushahidi wa kumuunga yule mother ni mdogo

Kama ulivosema tu ukibaka unaonekana ulizidiwa nyeg*
Hasa kwenye video jamaa mmoja alijitanabaisha kwamba yeye ni mtu wa tope
Au ushahidi hautoshi kumtia hatiani mtuhumiwa? Kwamba hakuwatuma bali zile zilikuwa nyrge zao tu wale vijana
 
Polen sana ndugu zao wote vijana walikuwa na kazi zao nzur tu ujinga umewaponza

Watu wanapaswa kuelewa kwamba shetani yupo na ni mshambuliaji somen UFUNUO WA YOHANA 12
Shetani Hayupo na wala hajawahi kuwepo.

Upumbavu na tamaa za watu ndio huwafanya kutenda makosa na maovu. Wala hakuna cha shetani.

Hata mahakamani Hakunaga msemo wa "shetani alinipitia". Hiyo haipoo.

You can reason and think critically to avoid problems and troubles.

Hakuna maswala ya shetani.
 
Nimefarijika sana Hawa Jamaa kuhukumiwa.
Naomba kuuliza Yule aliyekuwa anavuta bangi na hakumuingilia Yule binti nae anahukumiwa sawa na Wake waliomuingilia🙏 Km ni sawa Basi Sheria Yetu itakuwa Ina Mapungufu kidogo

Ushahidi wa binti unahusika pia ,ingawa yeye ameonekana anarekodi lakini yule binti alianza kubakwa tangia usiku ,inawezekana binti alimtaja na yeye kushiriki kwenye ubakaji.

Ila jamaa washenzi wafungwe tu ,binti wa 17 yrs watu watano? Sijajua mmoja ni nani ambaye wanamtafuta. mpaka sasa.
 
Sasa ndo usumbufu utaanza kwa wazazi,i wao.
Hata kumbaka yule binti gono na kaswende hukosi.si wangeelewana tu.Sasa na wao watabakwa huko pia
 
Shetani Hayupo na wala hajawahi kuwepo.

Upumbavu na tamaa za watu ndio huwafanya kutenda makosa na maovu. Wala hakuna cha shetani.

Hata mahakamani Hakunaga msemo wa "shetani alinipitia". Hiyo haipoo.

You can reason and think critically to avoid problems and troubles.

Hakuna maswala ya shetani.
Sawa Amna shida mtumish endelea kuamini hivyo
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.

Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.

Pia soma
Kwahyo afande yeye hajakamatwa? Au yeye hausiki?
 
Binafsi naungana na wajeda kina nyundo co company.

Hawajatendewa haki wakate rufaa ...
Kinacho sikitisha mmomonyoko wa maadili kwenye jamii mfano ukitembelea temeke na viunga vyake utakutana na ma DALADALA yamekodiwa na wanawake wakicheza kwa kukata MAUNO au WOWOWO madirishani bila wasiwasi KABISA.

Ukichunguza kwa umakini unagundua wanakua wamelewa kwa bange,ugolo,pombe na vilevi vikali vikali

Ndio hao hao MALAYA wanao jiuza humo mabarabarani na kwenye mitandao mbali mbali..
Aiseee!

Ulisema ulipata ajali ukaumia, ulipata kupona?

Hivi wewe ni Daktari kweli uliyeenda shule kusoma miaka 5-6, au Dokta dokta tu?

Kama haujapona pole, Mwenyezi Mungu akusaidie upone urudi katika majukumu yako ya kila siku.

(maswali yangu hayahusiani na mada)
 
Back
Top Bottom