Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Iwe fundisho kwa wengine,

Starehe ya madakika tu inafanya maisha yako yote yaliyobaki yaishie Jela,

Hata siku moja usikubali kutumwa kwenda kufanya jinai ili kumfurahisha mwingine au kwa malipo,

Ur life belong to you and life is too short,

Sasa hivi wanajuta ila ndio imeshakua too late.
Yeah!.. majuto ni mjukuu
 
Kule Antananarivo huwa kesi inasukwa kwamba hakimu awanyime kahaki flani kwenye mwendelezo wa kesi...
Baada ya waTz kusahau walau miaka miwili hivi baadae, inakatwa rufaa watu haooo mtaani!!
Mtajua hamjui kuwa mnamjua...
 
Sitaki kuamini km hawa, kweli wataenda jela kutumikia kifungo cha maisha.
Watatokaa na kwenda kwenye majukumu yao ya kazi km kawaida.

Case ya RC Nawanda, hata hatujui imeishia wapii Lol.
 
ifike wakati kupunguza msongamano wawe wananyongwa. magereza zinazidiwa wingi wa watu.
Wapewe kazi ngumu za kufanya kuna mashamba makubwa wanaweza kulima, kufanya usafi mijini, ufugaji, ujenzi, kufanya kazi kwenye viwanda vya magereza vijana hao nguvu kazi. Magereza inaweza kutoa gawio kwa serikali.
 
Akikaa kimya lazima alaumiwe, Kwanini asitoe tamko lolote la ku-speed up kesi kwa ukatili kama huu?

Mawakili wamepambana na kesi imeisha vizuri kama hivi bila kusukumwa na nguvu toka juu sasa yanini tumsifu Raisi wakati awali alikaa kimya...


Angekua alitoa tamko lolote la ku-speedup kesi iende Haraka, Hawa wanaotoa pongezi kwa Raisi kwenye huu uzi wangekua wapo skumbekahihi tu.

Sasa wanampongezea nini wakati alikaa kimya, si afadhali waipongeze katiba na watu waliosimamia haki !!

Akikaa kimya lazima alaumiwe, Kwanini asitoe tamko lolote la ku-speed up kesi kwa ukatili kama huu?

Mawakili wamepambana na kesi imeisha vizuri kama hivi bila kusukumwa na nguvu toka juu sasa yanini tumsifu Raisi wakati awali alikaa kimya...


Angekua alitoa tamko lolote la ku-speedup kesi iende Haraka, Hawa wanaotoa pongezi kwa Raisi kwenye huu uzi wangekua wapo sahihi tu.

Sasa wanampongezea nini wakati alikaa kimya, si afadhali waipongeze katiba na watu waliosimamia haki !!
Kwaiyo Rais aifose mahakama akiwa kwenye Media kwamba majaji wafanye haraka kuhukumu kesi fulani au??!!!!! Au aseme hao wabakaji wafungwe wasiachiwe huru
 
Hii kesi Bado haijaisha mkuu mahakama imesema inazid kukusanya ushaid na wanaweza kwenda jela ama kurud uraiani
 
kwani wewe ejuaje ni wao kwenye video? Hujawahi kuona video za kuedit? Na hapo ndipo gap lilipo kwenye hii kesi. Kwa aina ya makosa kuna kosa limekosekana ambalo lilitakiwa liwepo ila sasa lazima kifaa kilichorekodi na kutuma lazima nacho kiwepo. Huo ndio mtihani uliokuwepo na hautaishi miaka mingi sana wataenda kutokea Mahakama ya Juu ya Rufaa

Hii ngoma ikifika Court of Appeal lazima tufurahi kule kama kuna ka procedure kalivurundwa huku chini hawapepesi macho.
 
Sitashangaa hiyo kesi ikafutwa na kuamuriwa ianze upya na Mahakama Kuu au ya Rufani, justice hurried is justice burried.
 
Jela ni kwa kila mtu tunapishana muda, saa,siku na kesi husika ya kuingia hivyo kila ukiamka asubuhi shukuru Mungu akuepushe na hicho kikombe.......

Bro wangu yupo jela kisa mtoto wake alipigwa na mama wa kambo wakimchangia na watoto wake mpaka kifo ila sheria imemuadhibu na kwa nin alikuwa afatiri usalama wa family yake.............@jailis4everybody
Kuna kaharufu ka rushwa.Mama wa kambo si ni mtu mzima pia.
 
Back
Top Bottom