FUTURE PLAN
Senior Member
- Jun 11, 2023
- 186
- 212
Hili sio jambo lakufurahia na kushangilia, Jamaa wamekosea kwakweli walifanya kitendo kibaya ila hiyo haiwaondoi kwenye kundi la binadamu, tumepoteza vijana watano kwa mpigo ni jambo la kusikitika na kutafakali hususani sie Vijana bado tunasafari ndefu na mapitio mengi ila inashangaza watu kufurahia wenzao kuharibikiwa, Sio poa wamekosea kweli na wamehukumiwa kwa haki ila sawa ila hili sio jambo la kufurahia