Nyundo na wenzake wakutwa na hatia, wahukumiwa kifungo cha Maisha Jela
Jela ni kwa kila mtu tunapishana muda, saa,siku na kesi husika ya kuingia hivyo kila ukiamka asubuhi shukuru Mungu akuepushe na hicho kikombe.......

Bro wangu yupo jela kisa mtoto wake alipigwa na mama wa kambo wakimchangia na watoto wake mpaka kifo ila sheria imemuadhibu na kwa nin alikuwa afatiri usalama wa family yake.............@jailis4everybody
 
Jela ni kwa kila mtu tunapishana muda, saa,siku na kesi husika ya kuingia hivyo kila ukiamka asubuhi shukuru Mungu akuepushe na hicho kikombe.......

Bro wangu yupo jela kisa mtoto wake alipigwa na mama wa kambo wakimchangia na watoto wake mpaka kifo ila sheria imemuadhibu na kwa nin alikuwa afatiri usalama wa family yake.............@jailis4everybody
Una point usikilizwe,,,duuh hii kali
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam.

Ni katika kesi ya jinai namba 23476 ya mwaka 2024 iliyokuwa inawakabili washtakiwa hao akiwamo MT 140105 Clinton Damas, maarufu Nyundo ambaye ni askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), askari Magereza C.1693 Praygod Mushi, Nickson Jackson ‘Machuche’ na Amin Lema anayejulikana pia kwa jina la Kindamba.

Hukumu hiyo imetolewa leo Jumatatu, Septemba 30, 2024. Pia, Mahakama hiyo imewataka kila mmoja kumlipa binti huyo fidia ya Sh1 milioni.

Pia soma
Ile kideo wanastaili kifungwa JW na Askari magereza mlivyo wajinga manakubali kuchukua kideo kwa tukio kama lile(ushaidi mnachukua) mmejifunga wenyewe kijinga sana.
Ona afande yeye anakula maisha na ilihali ndo aliyesuka mpango mzima atakama ni kweli lakini huwezi mfunga Huna ushaidi(kideo) mtu WA magereza na jw kabisa unashindwa kujua jinsi ushaidi WA video inaonyesha sura ulivyo hatari Bora mfungwe

Nb. OGOPA SANA MUNGU NA TECHNOLOJIA
 
SASA MPUMZISHENI MAMA SAMIA MWENYE KUSIMAMIA HAKI. WALIKUWA WANAMCHAFUA KUWA SERIKALI YAKE HAITENDEI HAKI WATU. VIVA SAMIA . MITANO TENA . MIHIMILI YOTE IKO FAIR FAIR FAIR FFA

SASA MPUMZISHENI MAMA SAMIA MWENYE KUSIMAMIA HAKI. WALIKUWA WANAMCHAFUA KUWA SERIKALI YAKE HAITENDEI HAKI WATU. VIVA SAMIA . MITANO TENA . MIHIMILI YOTE IKO FAIR FAIR FAIR FAIR
Mama Samia anahusika vipi na hukumu ya Mahakama!? Mahakama ni mihimili unao jitegemea ambao unaongozwa na Jaji Mkuu!

Serikali kupitia Polisi Kazi yao ni kufanya upelelezi , lakini suala la hukumu ni la mahakama.

Mama Samia analalamikiwa pale ambapo Polisi wanakua hawafanyi upelelezi wa matukio ya uhalifu, mfano watu wakirekwa, kutesa na kupigwa risasi , lakini hakuna anayekaywa, hapo lawama lazima azibebe yeye
 
Back
Top Bottom