Nywele zangu za kifuani zimeanza kuwa na mvi, je tatizo ni nini?

Asante kwa neno zuri 🙏
 
Ni utani tu kiongozi! Siku hizi mambo yamebadilika sana sijui ndiyo mabadiliko ya tabianchi yenyewe hayo? Vijana wadogo mvi kama kawa! Siku hizi wenye ndefu nyeusi ni wachache sana!
Kweli kabisa mkuu, hata vipara vimetapakaa sana mitaani tena walengwa wakubwa wa vipara hivyo ni vijana.
 
Hakikisha unakwepa msongo wa mawazo,kwa kufanya hivyo mvi utaziona kwa wapita njia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…