Oa msichana ndani ya ukoo wako

Tuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.

Akili mtu wangu

Mahaba gani zaidi ya kupasuka mfuko!?[emoji276]
 
Siku hizi Jamii Forum imevamiwa na watu wa ajabu sana.

Sijui wanatoka wapi aisee.
 
Tuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.

Akili mtu wangu
Ni failure ya malezi wazazi wa 1990s upto 2000s wametengeneza kizazi cha hovyo Kuliko kawaida.
 
No, kama Kuna magonjwa mtaendelea kurithishana, umasikini pia, hata hivyo kimaandiko hairusiwi na kama ni wafupi mtaendelea kuzaa stuli
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] una utani na Hawa bhandugu mmeku aki, watakupeleka Kenya na hivi we ni mpakani hapo Rombo hahaha
Huko ni kuendeleza umasikini na udumavu.
Ona wapare walivyo wafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…