mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Umekula kweli?Na bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekula kweli?Na bado.
Kaka usiwaonee huruma hao kenge. Acha walie, hao ndo wanakuaga mstari wa mbele kuwabeza na kuwatete wanawake hata kwenye upuuzi. Ndo hao huwa hawaambiliki na hawakamatiki...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?
Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
NakaziaTuna kizazi cha hovyo hovyo sana.
Ni kweli kuna wanawake pasua kichwa lkn sio kwa ukubwa huu.
Ukiwa akili kubwa mwanamke unamdhibiti tu kwa upendo na anatulia tu na mahaba juu.
Akili mtu wangu
Na wewe kuwa na ukabila.Wachaga mmezidi ukabila
Mimi mkosa kabila mkuu.Na wewe kuwa na ukabila.
NB:we mwenyewe Mchaga
Hii issue kumbe hata me huwa wanawawaisha wake zao mbele za haki!Usipoishi naye kwa akili, akishapata tu watoto, kiu yake na wewe jua imekwisha, linalofuata ni kukutanguliza muhusika mbele za haki, Ova.
Ni oyaaaHapana ni hoha
Yaani awe na vyooote ila ushirikina NO.Bado kidogo mkuu,subiri Dawa iwakolee...kuna ukoo wote ni hawasomi,wengine wachawi,wengine wagomvi,wengine maradhi ya kurithi...ivo utachagua wewe
Hapana ni ovaaaHapana ni hoa
Asili yako ni mchagga niliwahi kusoma uzi wako flaniMimi mkosa kabila mkuu.
Huwezi kunikuta natetea ukabila
Me huwa hawana maujinga hayoHii issue kumbe hata me huwa wanawawaisha wake zao mbele za haki!
Sasa vipi watoto wakija kujua?
OaHivi ni OA au OWA??
Tuanzie kwanza hapo
Kwahiyo unataka kusema kwamba kama mwanaume hana akili ndiyo anakuja na uzi kama huu? [emoji23][emoji817][emoji1666] imeandikwa tuishi nao kwa akili
Hawajatuzidi akili ila tunataka na wao wawe na akili kama zetu kitu ambacho hakiwezekani kabisa.🤣🤣🤣
Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?
Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Daah sina hata ukaribu na uchagga mkuu wangu umefananisha.Asili yako ni mchagga niliwahi kusoma uzi wako flani
Wee umejuaje 😂Yeah wengine Hadi wabadili iD ziwe za kiume ndio wanashusha Thread.
Huo mdomo mchafu mwenyewe ninao tunajizuia tu sababu si ujanja maneno machafu.Muoga 🤣🤣
Watu wako na Midomo michafu
Tunawaonaga humu humu mtu ana jinsia Mbili za kazi.Wee umejuaje
Napenda Hivooo 🤣mdomo mchafu mwenyewe ninao