Oa msichana ndani ya ukoo wako

Oa msichana ndani ya ukoo wako

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?

Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Kaka usiwaonee huruma hao kenge. Acha walie, hao ndo wanakuaga mstari wa mbele kuwabeza na kuwatete wanawake hata kwenye upuuzi. Ndo hao huwa hawaambiliki na hawakamatiki...

Ni malofa ndio wanazidiwa akili na ke na wanalia lia.

Wanapitishwa kwenye ubatizo kaka. Acha walie. Wanakuwa treated
 
Naona wewe unataka tuoane ndugu kwa ndugu kwenye uvuli wa ukoo,,,,kitu ambacho siyo kizuri kwa ustawi wa afya na mipangilio ya kijamii..
Kila mtu atafute wa kuendana naye... Tatizo kunakua na malumbano maana watu wameoa na kuolewa na watu wasio wa madaraja yao....
Simu yangu inasumbua loudspeaker ningeiseti on tukasikilizana vizuri[emoji23]
 
🤣🤣🤣

Hivi tuseme wanawake wametuzidi akili? Mbona threads za aina hii zimekuwa nyingi?

Wanaume tumekuwa watu wa kulia lia tu kutwa kuumizwa na hawa wasaidizi wetu
Hawajatuzidi akili ila tunataka na wao wawe na akili kama zetu kitu ambacho hakiwezekani kabisa.

Wana kuzinguana ni nadra sana tofauti na jinsia ke!! Wakizinguana mtaa mzima utajua, fitna kibao nk so wao kua kama sisi sio rahisi, ndivyo walivyoumbwa.

Tunahangaika kupata wa kufanana nae coz tunataka afanane nasi kwa kiwango kikubwa kitu ambacho si rahisi ndo mitafaruku huanza hapo.
 
kina jamaa ana gongewa mke najamaa ambae ametambulishwa na kewe kuwa ni kaka yake.wanaongea kuluga ambacho jamaa hakijui🤣🤣
 
Back
Top Bottom