Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

Ni kipimo gani utampimia mwenye hofu ya Mungu? Kwa muda gani? Akibadilika baada ya kumuoa utamshitaki Mungu kutompa mafunzo bora ya ndoa?
Hao wenye akili wakiolewa unajua akili za ndoa weeewe???
 
Epuka kuoa mwanamke anayekwepa kutenda mambo mabaya kwa kuogopa kuchomwa moto na mungu. Huyo atakuja kubadilika tu akishaipata hiyo ndoa.
Mtu mwenye akili timamu anapaswa asitende mambo mabaya kwa kuzingatia madhara yake kwa watu wengine.
Mfano:
Kutokuiba mali ya mtu kwa kuogopa kuchomwa moto ni bad reasoning! Bora kutokuiba kwa kuwa wizi wako utaleta madhara hasi kwa uliyemuibia.
 
Hofu ipi unaizungumzia na huku ndani mmejaa mijianaume mi nafki , michovu , mizee na michawi hata shetani anawaogopa ndio nani awape mwanamke mwenye hofu , ushindwe ulegee usituchoshe unachart na mtu anakulia timing tu atafaidika nanini humu nawashangaa ga watu wanasema na tafuta mume humu wehu tu
Khe! Kwenye hii orodha yako na mimi nimo!!
 
Older mnaokimbiliaa ndoa

Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake

Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima

Ni yule aliye na hofu na Mungu

Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà

Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
Naunga mkono hoja,kuwa makini na makanjanja,utasikia kila saa "yani kwa uwezo wa Mungu" ili uamini ni mwenzio...
 
Oa mwanamke bikra akuna kiumbe kisicho na hofu ya Mungu mkuu
 
samahani kuuliza, wanaokutongoza humu JF na wa mtaani kwako au katika mazingira yako yanayokuzunguka wote wanafanana au wanatofautiana?
Wa mtaani mie sina mie ujue sipo single ila wa humu wote ndio ninachakuhadithia
 
m nilikutana na kimbola cha kihaya
kimoja 2005 kilintengeneza nkaona mke ndio huyu angle malaika wa vita wewee nikajaa kansan Nov 5
Dec 5 nkahitimisha yaan nilivyoona kinawaka akipoi nkaenda sehemu wakasema umelogwà nkaoga na chumvi mawe .sabuni.maji ya baraka kama yote nikapata nguvu gafla nkabeba nguo tu nkahitirmisha jarambaa loh



Lakini bot iliishazama sema sio yote wee naoajua hiooo

Shirikinaa noma demu hana wiki ndoan anataka niache kazi ati tupige bussin
.ngastukaaa
Nkashtuka wiki yaa pili anakuletea docs za masters sijui ka apply lini UK ati na sponsors tumepata

Nkamwambia anaijuaa hiooo wewee
Tuliza kichwa andika vizuri
 
Back
Top Bottom