Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

Hataaa hapa naandika naona kuna mshrikina kaja kasoma post kaondokaa anyway
 
Washindwee kwa jina la Yesu
Starehe zaoo kuona wanateseka tu wenzao
 
wapiga spana embu legezeni kama mnaweza acheni kabisa hii michezo jaman haya n maisha tu wote tunahitaji maisha mazuri furaha soo kutesana sawa
 
Wewe hofu ya MUNGU unayo? Au unataka mwanamke ndiye awe na hofu ya MUNGU ili kumnyanyasa kila akiuliza kitu utasikia si unasali wewe au siumeokoka wewe! Anza wewe kuwa na hofu ya MUNGU la sivyo mtaoana wote wakufanana 😂😂
 
Older mnaokimbiliaa ndoa

Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake

Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima

Ni yule aliye na hofu na Mungu

Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà

Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
Kabisa ,mwanamke anayejiheshimu ndoa itadumu.
 
Yaa. Zaman makanisan kila jpili unakuta matangazo ya ndoaa si chini ya 7 lakini sasa hizi unakutana na taarifa za misiba na shukran kwa yaliyowatokeaaaa

Vija a wamekosa mwamkoo kabisa wa ndoaa
Pdidy uje fala sana.. nimecheka hapa kitambaa hadi malaya kanishangaa🤣🤣🤣
 
Hofu ipi unaizungumzia na huku ndani mmejaa mijianaume mi nafki , michovu , mizee na michawi hata shetani anawaogopa ndio nani awape mwanamke mwenye hofu , ushindwe ulegee usituchoshe unachart na mtu anakulia timing tu atafaidika nanini humu nawashangaa ga watu wanasema na tafuta mume humu wehu tu
Oi mimi sipo hivyo njoo kwangu ufurahi.. mshenga atakuwa Pdidy mpwa mwenyewe
 
Older mnaokimbiliaa ndoa

Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake

Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima

Ni yule aliye na hofu na Mungu

Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà

Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu
sasa huyo mwenye hofu ya Mungu si anapatikana huko huko ibadani au anapatikana wapi
 
Hofu ipi unaizungumzia na huku ndani mmejaa mijianaume mi nafki , michovu , mizee na michawi hata shetani anawaogopa ndio nani awape mwanamke mwenye hofu , ushindwe ulegee usituchoshe unachart na mtu anakulia timing tu atafaidika nanini humu nawashangaa ga watu wanasema na tafuta mume humu wehu tu
Mbona umepaniki sana mkuu
 
Wazee wa nyunyuuu mpaka Jf
Dah hakuna sehemu salama wallahi
 
Sweetycandy na pdidy ni tapeli mmoja mwenye id mbili
Ficha upumbavu wako basi
Hope n mgeni humu.....mi hata nikikutukana huku sina haja ya I'd ya pili
Unashida nakupa na namba kabisaaaa
Jisogeze
 
Oi mimi sipo hivyo njoo kwangu ufurahi.. mshenga atakuwa Pdidy mpwa mwenyewe
Mpwaaa unijulishe mapemaa kama n mwaka huu nihairishe safari ya Kampala maana shemeji yakoo ashatuma na naulii nisije achika lakini kwa hili ntaangalia umuhimu kwanza nimalize tuelekee Kampala
Sweetc......reply pls
 
Pdidy uje fala sana.. nimecheka hapa kitambaa hadi malaya kanishangaa🤣🤣🤣
Mpwaaa ndio ukweli m Nasalii kkkt

Yaan zaman unasikia ndugu xx urio anataraji kufunga ndoa na yy kasabwile tsr fff jmamosi
Sijui rr anatarajia kufunga ndoa na uu tar

Weweee sikuhiziiii imeishaa hioooo

Ukisikia matangazo na vile wanaweka litambaa unasoma yote unaishia kuona

Yy anasikitika kutangaza kifo cha jj
Mazishi yalifanyika
www anasikitika kutangaza kifo cha gg mazishi yatafanyika ll

Sasa hizo shukran usiseme
Familia ya oo anapenda kushukur Mungu kwa ....
Familia ya vv anapenda kushukur

Yaan ndoaa zimekuwa adimuu balaa nkahamia kanisa la kmr hukoo ndioo hatq misiba na shukran hausikii nkaona nirudi hukuhuku kwenye matangazooo loh

Mpwa bado umeshikilia nanga msalikoe sana mwenzio nasubiria simu icheke nijisogexe maeneo ya sinza unyatire

Ijumaa siku Murwaaa ya kupelekeamoto hayo mananiinoo
 
Older mnaokimbiliaa ndoa

Bora uchelewe kuoa ukimwomba Mungu akupe mwenye hofu yake

Mwanamke pekee atakayeishi kwa upendo nidhamu na hekima

Ni yule aliye na hofu na Mungu

Haya makanjanjaaa yamejazana ibdan yanaotea kama betting usijichanganye kizembee utakufaà

Ukishayaoaa yanageuka kuwa mbwa mwitu mpendwa acha tu

Unaipimaje?
 
Hawaaminiki
 
Siyo kweli.

Hofu ya mungu haiwezi mfanya mwanamke awe mke Bora maana mungu mwenyewe hayupo na Wenye hofu wakifanya ushenzi hawadhuliki kwa lolote.

Ucha mungu unatumika kama kichaka, hao ndiyo watenda dhambi wakubwa.
 
Back
Top Bottom