Oa Mwanamke mwenye hofu ya Mungu, vinginevyo utateseka

Ni kipimo gani utampimia mwenye hofu ya Mungu? Kwa muda gani? Akibadilika baada ya kumuoa utamshitaki Mungu kutompa mafunzo bora ya ndoa?
Hao wenye akili wakiolewa unajua akili za ndoa weeewe???
 
Epuka kuoa mwanamke anayekwepa kutenda mambo mabaya kwa kuogopa kuchomwa moto na mungu. Huyo atakuja kubadilika tu akishaipata hiyo ndoa.
Mtu mwenye akili timamu anapaswa asitende mambo mabaya kwa kuzingatia madhara yake kwa watu wengine.
Mfano:
Kutokuiba mali ya mtu kwa kuogopa kuchomwa moto ni bad reasoning! Bora kutokuiba kwa kuwa wizi wako utaleta madhara hasi kwa uliyemuibia.
 
Khe! Kwenye hii orodha yako na mimi nimo!!
 
Naunga mkono hoja,kuwa makini na makanjanja,utasikia kila saa "yani kwa uwezo wa Mungu" ili uamini ni mwenzio...
 
Oa mwanamke bikra akuna kiumbe kisicho na hofu ya Mungu mkuu
 
Nimeongea ukweli ifikie mahala uongee ukweli
samahani kuuliza, wanaokutongoza humu JF na wa mtaani kwako au katika mazingira yako yanayokuzunguka wote wanafanana au wanatofautiana?
 
samahani kuuliza, wanaokutongoza humu JF na wa mtaani kwako au katika mazingira yako yanayokuzunguka wote wanafanana au wanatofautiana?
Wa mtaani mie sina mie ujue sipo single ila wa humu wote ndio ninachakuhadithia
 
Tuliza kichwa andika vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…