TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Kuna baadh ya maoni kwenye huu uzi ukiyasoma utagundua mtoa maoni ameandika kufurahia jambo alilotolea maoni kanakwamb uzi ni wa kufurahisha
 
Wakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .

Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.

Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi.

Nilijihisi kuumwa malaria , nikatumia mseto ,baadaye hali ilizidi kuwa mbaya mwili kukosa nguvu, hamu ya kula kupotea hata maji kuona hayafai mdomoni hata kuoga maji baridi ni taabu.

Hosp vipimo kama fullblood picture, widal na urine vyote vikionesha hamna kitu. Mara ya Kwanza joto lilikuwa juu mpaka nikachomwa sindano ya diclofenac .

Nyumbani sikuwa na uangalizi mzuri maana wife anawajibika eneo tofauti kidogo, nilikuwa nashindia uji wa lishe huku nikiulizwa leo ule nn? Niko hoi jibu ni chochote basi kinawekwa hapo karibu na kitanda. Naibuka usiku kama saa 0010 nakula kidogo na uji wa lishe uliokatika nakunywa kutafuta uhai.

Mamamkwe namshukuru akawataka wanaoniuguza wanifukize na mchanganyiko wa majani asubuhi na jioni.

Mchanganyiko wa majani ya mpera, mwarobaini, mparachichi mlonge , alovera na mchaichai. Nilipofukizwa mchana na kutakiwa kukaa masaa mawili ndiyo nioge!, Usiku nilipofukizwa tena, na alfajiri wife akawa amefika na kuanza kunipa mpangilio madhubuti wa chakula na kufukiza.

Uji, supu ya ng' ombe, ugali na samaki aliyeungwa kwa mafuta na limao inayosikika, naogeshwa kwa kukandwa na maji Moto, ukimaliza chai ya tangawizi limao na mchaichai .

Pumzika, Kisha pumzika sebuleni siyo chumbani huku uji nikipewa chumbani, supu na chakula dinning hakika mwili ukafunguka koo likawa linaachia kila ninapokunywa tangawizi.

Waliombali na familia zao ni wakati muafaka wa kujongeleana, majukumu yanaweza kukuweka mbali, lkn ukisikia mabadiliko ya mwili ussijisikilizie mwite mwenzako akukakarabati. Nilifanya kosa kwa kumzuia kila aliponiambia aombe ruhusa nilimkatalia nikiamini kesho ntakuwa vzr.

Mh rais anachoshauri kinamashiko makubwa pale unapoona upumuaji hauko vzr ndo tukimbilie hosp otherwise vinywaji vyetu tunavyoovijua kama Tangawizi, malimao, mchaichai , coca na Sprite pressure ikiwa haiko sawa ni Muhimu.

Niko salama ,barakoa ni muhimu.
 
Hahaha nimesoma huku natabasam
 
Wakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .

Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.

Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi...
Pole mkuu.Ila nyungu haijawahi kuwa dawa
 
Yote, kwa yote mm naamini imenisaidia kwa kiasi kikubwa na bado naipiga .

Mwili ukiwa umechoka , unajiona kitanda ndiyo rafiki natoa ushuhuda nyungu ni hatua moja kuinuka.

Boresha lishe na vinywaji asili na maombi kwa wenye Imani ni ushindi.
 
Acha kabisa niko hatua ya katikati kuelekea kupona Corona isikie tu ikikukuta unaafya mbovu utajuta..!

Viungo vinauma uchovu, pumzi inalungua na homa hasa jioni na usiku ni hatari kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app

Pole sana, Mola yu nawe.
Inashauriwa usiku kulalia tumbo au muda mwingine wowote ili kusaidia. I hope itakupunguzia maumivu
 
Wakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .

Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.

Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi.

Nilijihisi kuumwa malaria , nikatumia mseto ,baadaye hali ilizidi kuwa mbaya mwili kukosa nguvu, hamu ya kula kupotea hata maji kuona hayafai mdomoni hata kuoga maji baridi ni taabu.

Hosp vipimo kama fullblood picture, widal na urine vyote vikionesha hamna kitu. Mara ya Kwanza joto lilikuwa juu mpaka nikachomwa sindano ya diclofenac .

Nyumbani sikuwa na uangalizi mzuri maana wife anawajibika eneo tofauti kidogo, nilikuwa nashindia uji wa lishe huku nikiulizwa leo ule nn? Niko hoi jibu ni chochote basi kinawekwa hapo karibu na kitanda. Naibuka usiku kama saa 0010 nakula kidogo na uji wa lishe uliokatika nakunywa kutafuta uhai.

Mamamkwe namshukuru akawataka wanaoniuguza wanifukize na mchanganyiko wa majani asubuhi na jioni.

Mchanganyiko wa majani ya mpera, mwarobaini, mparachichi mlonge , alovera na mchaichai. Nilipofukizwa mchana na kutakiwa kukaa masaa mawili ndiyo nioge!, Usiku nilipofukizwa tena, na alfajiri wife akawa amefika na kuanza kunipa mpangilio madhubuti wa chakula na kufukiza.

Uji, supu ya ng' ombe, ugali na samaki aliyeungwa kwa mafuta na limao inayosikika, naogeshwa kwa kukandwa na maji Moto, ukimaliza chai ya tangawizi limao na mchaichai .

Pumzika, Kisha pumzika sebuleni siyo chumbani huku uji nikipewa chumbani, supu na chakula dinning hakika mwili ukafunguka koo likawa linaachia kila ninapokunywa tangawizi.

Waliombali na familia zao ni wakati muafaka wa kujongeleana, majukumu yanaweza kukuweka mbali, lkn ukisikia mabadiliko ya mwili ussijisikilizie mwite mwenzako akukakarabati. Nilifanya kosa kwa kumzuia kila aliponiambia aombe ruhusa nilimkatalia nikiamini kesho ntakuwa vzr.

Mh rais anachoshauri kinamashiko makubwa pale unapoona upumuaji hauko vzr ndo tukimbilie hosp otherwise vinywaji vyetu tunavyoovijua kama Tangawizi, malimao, mchaichai , coca na Sprite pressure ikiwa haiko sawa ni Muhimu.

Niko salama ,barakoa ni muhimu.
Mkuu, hongera kwa kusalimika baada ya kujifukiza na shukuru Mungu kuwa blood pressure yako iko very normal na huna athma.Naomba niishie hapo tu ila Mungu ni mkuu kwako! Laiti kama ungekuwa na mojawapo ya matatizo hayo basi ingekuwa habari nyingine.

Hakika Mungu ni mwema, usiendelee kujifukiza, kunywa tu huo mchanganyiko na ule malimao tuu na machungwa pia fanya mazoezi kidogo kidogo walau hata kwa dakika 15. Dah !
 
Yote, kwa yote mm naamini imenisaidia kwa kiasi kikubwa na bado naipiga .

Mwili ukiwa umechoka , unajiona kitanda ndiyo rafiki natoa ushuhuda nyungu ni hatua moja kuinuka.

Boresha lishe na vinywaji asili na maombi kwa wenye Imani ni ushindi.
Hiyo ya kuboresha afya hasa Kama uwezo wa fedha unaruhusu naukubali Ila nyungo?mmmh
 
Back
Top Bottom