Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nimesoma mara mbili kuona furaha sijaona zaidi ya watu kushtuka nikiwemo! Hii furaha wewe umeipimaje mkuu?Dah!! haya bhana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesoma mara mbili kuona furaha sijaona zaidi ya watu kushtuka nikiwemo! Hii furaha wewe umeipimaje mkuu?Dah!! haya bhana.
Kuna wakati muwe watu wa tafakuri.. Hamjui nikoje na marehemu... Msiwe watu wa kuhukumu kila kitu...
Jr[emoji769]
Naona Kama movie ya zitto na kigogo wa twiterWewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi
I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona nishamjibu...refer post #56 kama hutojali.Nimesoma mara mbili kuona furaha sijaona zaidi ya watu kushtuka nikiwemo! Hii furaha wewe umeipimaje mkuu?
Innocent atakuwa ni wa 14 kati ya wale 16. RIP Innocent.
Sky nakuomba inbox plzInnocent atakuwa ni wa 14 kati ya wale 16. RIP Innocent.
Hahaha nimesoma huku natabasamWakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .
Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.
Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi.
Nilijihisi kuumwa malaria , nikatumia mseto ,baadaye hali ilizidi kuwa mbaya mwili kukosa nguvu, hamu ya kula kupotea hata maji kuona hayafai mdomoni hata kuoga maji baridi ni taabu.
Hosp vipimo kama fullblood picture, widal na urine vyote vikionesha hamna kitu. Mara ya Kwanza joto lilikuwa juu mpaka nikachomwa sindano ya diclofenac .
Nyumbani sikuwa na uangalizi mzuri maana wife anawajibika eneo tofauti kidogo, nilikuwa nashindia uji wa lishe huku nikiulizwa leo ule nn? Niko hoi jibu ni chochote basi kinawekwa hapo karibu na kitanda. Naibuka usiku kama saa 0010 nakula kidogo na uji wa lishe uliokatika nakunywa kutafuta uhai.
Mamamkwe namshukuru akawataka wanaoniuguza wanifukize na mchanganyiko wa majani asubuhi na jioni.
Mchanganyiko wa majani ya mpera, mwarobaini, mparachichi mlonge , alovera na mchaichai. Nilipofukizwa mchana na kutakiwa kukaa masaa mawili ndiyo nioge!, Usiku nilipofukizwa tena, na alfajiri wife akawa amefika na kuanza kunipa mpangilio madhubuti wa chakula na kufukiza.
Uji, supu ya ng' ombe, ugali na samaki aliyeungwa kwa mafuta na limao inayosikika, naogeshwa kwa kukandwa na maji Moto, ukimaliza chai ya tangawizi limao na mchaichai .
Pumzika, Kisha pumzika sebuleni siyo chumbani huku uji nikipewa chumbani, supu na chakula dinning hakika mwili ukafunguka koo likawa linaachia kila ninapokunywa tangawizi.
Waliombali na familia zao ni wakati muafaka wa kujongeleana, majukumu yanaweza kukuweka mbali, lkn ukisikia mabadiliko ya mwili ussijisikilizie mwite mwenzako akukakarabati. Nilifanya kosa kwa kumzuia kila aliponiambia aombe ruhusa nilimkatalia nikiamini kesho ntakuwa vzr.
Mh rais anachoshauri kinamashiko makubwa pale unapoona upumuaji hauko vzr ndo tukimbilie hosp otherwise vinywaji vyetu tunavyoovijua kama Tangawizi, malimao, mchaichai , coca na Sprite pressure ikiwa haiko sawa ni Muhimu.
Niko salama ,barakoa ni muhimu.
Pole mkuu.Ila nyungu haijawahi kuwa dawaWakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .
Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.
Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi...
Yote, kwa yote mm naamini imenisaidia kwa kiasi kikubwa na bado naipiga .Pole mkuu.Ila nyungu haijawahi kuwa dawa
Acha kabisa niko hatua ya katikati kuelekea kupona Corona isikie tu ikikukuta unaafya mbovu utajuta..!
Viungo vinauma uchovu, pumzi inalungua na homa hasa jioni na usiku ni hatari kwakweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hongera kwa kusalimika baada ya kujifukiza na shukuru Mungu kuwa blood pressure yako iko very normal na huna athma.Naomba niishie hapo tu ila Mungu ni mkuu kwako! Laiti kama ungekuwa na mojawapo ya matatizo hayo basi ingekuwa habari nyingine.Wakuu, vifo vipo vya aina mbalimbali na hiki cha CORONA .
Huu ni ugonjwa hatari na ndiyo gumzo la sasa la dunia.
Mm nimeguswa na maradhi haya, Nashukuru taarifa mbalimbali nilizozipata toka vyanzo mbalimbali vya taarifa kuhusu hili janga. Nivifanyia kazi.
Nilijihisi kuumwa malaria , nikatumia mseto ,baadaye hali ilizidi kuwa mbaya mwili kukosa nguvu, hamu ya kula kupotea hata maji kuona hayafai mdomoni hata kuoga maji baridi ni taabu.
Hosp vipimo kama fullblood picture, widal na urine vyote vikionesha hamna kitu. Mara ya Kwanza joto lilikuwa juu mpaka nikachomwa sindano ya diclofenac .
Nyumbani sikuwa na uangalizi mzuri maana wife anawajibika eneo tofauti kidogo, nilikuwa nashindia uji wa lishe huku nikiulizwa leo ule nn? Niko hoi jibu ni chochote basi kinawekwa hapo karibu na kitanda. Naibuka usiku kama saa 0010 nakula kidogo na uji wa lishe uliokatika nakunywa kutafuta uhai.
Mamamkwe namshukuru akawataka wanaoniuguza wanifukize na mchanganyiko wa majani asubuhi na jioni.
Mchanganyiko wa majani ya mpera, mwarobaini, mparachichi mlonge , alovera na mchaichai. Nilipofukizwa mchana na kutakiwa kukaa masaa mawili ndiyo nioge!, Usiku nilipofukizwa tena, na alfajiri wife akawa amefika na kuanza kunipa mpangilio madhubuti wa chakula na kufukiza.
Uji, supu ya ng' ombe, ugali na samaki aliyeungwa kwa mafuta na limao inayosikika, naogeshwa kwa kukandwa na maji Moto, ukimaliza chai ya tangawizi limao na mchaichai .
Pumzika, Kisha pumzika sebuleni siyo chumbani huku uji nikipewa chumbani, supu na chakula dinning hakika mwili ukafunguka koo likawa linaachia kila ninapokunywa tangawizi.
Waliombali na familia zao ni wakati muafaka wa kujongeleana, majukumu yanaweza kukuweka mbali, lkn ukisikia mabadiliko ya mwili ussijisikilizie mwite mwenzako akukakarabati. Nilifanya kosa kwa kumzuia kila aliponiambia aombe ruhusa nilimkatalia nikiamini kesho ntakuwa vzr.
Mh rais anachoshauri kinamashiko makubwa pale unapoona upumuaji hauko vzr ndo tukimbilie hosp otherwise vinywaji vyetu tunavyoovijua kama Tangawizi, malimao, mchaichai , coca na Sprite pressure ikiwa haiko sawa ni Muhimu.
Niko salama ,barakoa ni muhimu.
Nakushuhudia, shauri na wengine nimetoa hali halisi.Hahaha nimesoma huku natabasam
Hiyo ya kuboresha afya hasa Kama uwezo wa fedha unaruhusu naukubali Ila nyungo?mmmhYote, kwa yote mm naamini imenisaidia kwa kiasi kikubwa na bado naipiga .
Mwili ukiwa umechoka , unajiona kitanda ndiyo rafiki natoa ushuhuda nyungu ni hatua moja kuinuka.
Boresha lishe na vinywaji asili na maombi kwa wenye Imani ni ushindi.