TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

TANZIA OCD wa Chalinze, Innocent Flex afariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi maradhi ya kuumwa kichwa na kubanwa pumzi

Hali ni mbaya lakini kadri watu wanavyojiachia huku mitaani bila hofu ndio kadiri hali inavyokuwa mbaya.

Corona itafika tu hata aende wapi as long as yupo tz itamkuta.

Inawezekana ni njia ya Mungu kutuondolea huyu binadamu.
 
RIP OCD.

Naona serikali ikikataa kutangaza, ndugu jamaa na marafiki wanatangaza.
 
RIP OCD.
Naona serikali ikikataa kutangaza, ndugu jamaa na marafiki wanatangaza.
halafu ni vya wenye Vyeo vya Juu sisi walalahoi ni kuzikana kimya kimya
wacha tutangaze na sisi km tulivyopokea au tulivyoona vyombo vingine
1588870482606.png


TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.
1588870653409.png
Nipashe Tanzania
@Nipashetz


#TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu.
 
Ni vizuri kupashana habari...ila tatizo ni nia ya mtoa habari...hapa naongelea in general wanaopenda kuleta habar za namna hii...unakuta case nyingine mtu hajafa kwa dalili za #covid19 na kafia hospitali isiyohudumia wagonjwa wa namna hii,ila mtoa taarifa anatushawishi kafa kwa #covid19,halafu zaidi anapongeza.
Mmh ok ok sawa

Jr[emoji769]
 
Cheki whatsap yko nmekutumia kuhusu yule aliyekuwa anajiita dr corona virus raia wa cameron
Alitwanga sana matangawiz, vitunguui swaumu etc kujifukiza akiwambia watu Dawa anayo corona
Imemngoaaa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Kesharest mupisi? Wajuba wameshamtembelea?

Jr[emoji769]
 
Huyu bwana Mkatoliki safi. Alikuwa Mugumu Serengeti na pia amewahi kuwa Muheza. RIP afande watoto wako bado wadogo.
Kweli wewe unamfahamu. Nilikuwa naye last 3 days

Jr[emoji769]
 
  • Thanks
Reactions: PhD
Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi

I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio mshana ila kwa taarifa hii ni kipi ameshadadia, kupotosha na kuzua tafrani? Iwapo hupendi kusoma taarifa hizi ignore iyo thread? Kwa hiyo kipostiwe kile upendacho wewe? Nikikuita mbinagsi nitakuwa nakosea?
 
halafu ni vya wenye Vyeo vya Juu sisi walalahoi ni kuzikana kimya kimya
wacha tutangaze na sisi km tulivyopokea au tulivyoona vyombo vingine taarifa ya sasa imesema vifo ni 25 tu
View attachment 1442915
View attachment 1442917
Kuna mshkaji kafiwa na baba yake, baada ya siku nne kafiwa na mama yake. Covid-19.

Halafu kibaya zaidi yuko Marekani hata kwenye msiba hawezi kuja.

Hatari sana.
 
Yule mpare mwenzako. Mange anasema kirusi kimebadilika na kweli wataalamu wanasema kimejibadilisha ma kuwa deadly.

Kile cha wuhan na usa sio cha Africa.
Cha mbele kinakupa muda kidogo ila cha bongo kinakuchukua fasta.

Wabunge .. waliokufa na huyu wameondoka kwa muda mfupi sana

Tena wqmegundua kinaingia kwenye brain na moyo pia
Sio mapafu peke yake tena bali kinashambulia kila kona


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Umenikumbusha juzi, nikiwa na 'my wife wangu' aliniunguza mpini na dawa ya moto wakati akikorogakoroga na limwiko ili mvuke utoke mwingi.
Ukisha changanya majani kama, majani ya mwembe, mparachichi, mpera, mchaichai, alovera, mlonge na mengineyo inayojulikana kama miti tiba siyo lazima upate yooote.

Iweke kwwnye sufuria pamoja na maji ichemke ukiwa umefunika ,ukiona imeiva ,andaa mazingira yako kama ni chumbani , weka blanket au shuka nzito, kaipue sufuria yako ikiwa imefunikwa peleka chumbani vua nguo bakia na underwear , jifunike pamoja na sufuria...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom