Mfalme Wa Dunia
Member
- Aug 22, 2015
- 69
- 63
Sasa hutaki kupata taarifa za misiba??Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hutaki kupata taarifa za misiba??Kuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
Sema watu maarufu, tena sio wawili ni watatu, hukunakina sie kajamba nani usihesabu kabisaUpumuaji leo umebeba watu wawili!!!
kweli kabisa mkuu,ila upumuaji ni pepo baya hata uwe na pesa utaenda tuSema watu maarufu, tena sio wawili ni watatu, hukunakina sie kajamba nani usihesabu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu ni vya wenye Vyeo vya Juu sisi walalahoi ni kuzikana kimya kimyaRIP OCD.
Naona serikali ikikataa kutangaza, ndugu jamaa na marafiki wanatangaza.
TANZIA Mkuu wa Wilaya ya Nyang'wale Mkoa wa Geita, Hamim Buzohera Gwiyama, amefariki leo Mei 7, 2020 Saa 5:00 Asubuhi katika Hospitali ya Rufaa Bugando baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Nipashe Tanzania
@Nipashetz
#TANZIA Katibu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Lugano Mwafongo amefariki Dunia Leo Tarehe 7 Mei 2020 Katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mmh ok ok sawaNi vizuri kupashana habari...ila tatizo ni nia ya mtoa habari...hapa naongelea in general wanaopenda kuleta habar za namna hii...unakuta case nyingine mtu hajafa kwa dalili za #covid19 na kafia hospitali isiyohudumia wagonjwa wa namna hii,ila mtoa taarifa anatushawishi kafa kwa #covid19,halafu zaidi anapongeza.
Kesharest mupisi? Wajuba wameshamtembelea?Cheki whatsap yko nmekutumia kuhusu yule aliyekuwa anajiita dr corona virus raia wa cameron
Alitwanga sana matangawiz, vitunguui swaumu etc kujifukiza akiwambia watu Dawa anayo corona
Imemngoaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa hata
Mimi sio mshana ila kwa taarifa hii ni kipi ameshadadia, kupotosha na kuzua tafrani? Iwapo hupendi kusoma taarifa hizi ignore iyo thread? Kwa hiyo kipostiwe kile upendacho wewe? Nikikuita mbinagsi nitakuwa nakosea?Wewe umekuwa mtu wa mbele sana kushadadia Haya na kupotosha , umekuwa ukizua taarifa za uzushi kila Mara, na taarifa hizi zimekuwa zikileta taharuki kwa wananchi wengi
I tell you,lazima ubadilike .naishia hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna watu wana enjoy kusoma habari kama hiziKuna watu wanaenjoy kupost habari za hivi
ExactlyNa kuna watu wana enjoy kusoma habari kama hizi
Kuna mshkaji kafiwa na baba yake, baada ya siku nne kafiwa na mama yake. Covid-19.halafu ni vya wenye Vyeo vya Juu sisi walalahoi ni kuzikana kimya kimya
wacha tutangaze na sisi km tulivyopokea au tulivyoona vyombo vingine taarifa ya sasa imesema vifo ni 25 tu
View attachment 1442915
View attachment 1442917
Mimi sio mshana ila kwa taarifa hii ni kipi ameshadadia, kupotosha na kuzua tafrani? Iwapo hupendi kusoma taarifa hizi ignore iyo thread? Kwa hiyo kipostiwe kile upendacho wewe? Nikikuita mbinagsi nitakuwa nakosea?
Yule mpare mwenzako. Mange anasema kirusi kimebadilika na kweli wataalamu wanasema kimejibadilisha ma kuwa deadly.
Kile cha wuhan na usa sio cha Africa.
Cha mbele kinakupa muda kidogo ila cha bongo kinakuchukua fasta.
Wabunge .. waliokufa na huyu wameondoka kwa muda mfupi sana
Ukisha changanya majani kama, majani ya mwembe, mparachichi, mpera, mchaichai, alovera, mlonge na mengineyo inayojulikana kama miti tiba siyo lazima upate yooote.
Iweke kwwnye sufuria pamoja na maji ichemke ukiwa umefunika ,ukiona imeiva ,andaa mazingira yako kama ni chumbani , weka blanket au shuka nzito, kaipue sufuria yako ikiwa imefunikwa peleka chumbani vua nguo bakia na underwear , jifunike pamoja na sufuria...